Inasikitisha sana halafu inauma

Wanaume wenywewe ndo hawa wanao gombania vipodozi na wake zao asbh!?!? Unategemea nn
 
Inavyoonekana wanawake wengi humu jf wana sexual stress!!!😱😱😱

Wengi wanapata shoo za kibitoz🙄

Mkuu bitoz ukipita huku usipanik, simaanishi ww ndugu yangu😀
 
Mabwabwa!
 
mimi nadhani hali hii kwa wanaume kutowafikisha wadada mlimani inatokana na aina ya vyakula tunavyokula,tunadharau vyakula vya asili kama karanga,mihogo nk na kuendekeza chips kwa mayai ya kisasa,upande wa wadada wengi hawafiki kilimanjaro kwa sababu ya kutumia sana vifaa 'atifisho'
 
Wamebaki wanaume suruali tuu
yawezekana kuwa kweli lakini kuna fakta nyingi zinazosababisha kuwa wanaume suruali,1,hofu ya magonjwa ambayo husababisha mtu afanye kwa tahadhari kubwa,pia kutumia sandarusi kunapunguza msisimko na mtu kuonekana kama si dereva
 
Mmmmmh
 
Vyakula vinahusika sana. mbolea, madawa ya kuuwa wadudu, na vyakula/vinywaji vya viwandani. hivi vyote ni vunja P*mbu. hizo nguvu zitatoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…