Inasikitisha sana halafu inauma

Hayi ni matokeo ya harakati za kishetani kumuangamiza mwanadamu.

Lilith the queen of devil akiwatumia wanaharakati kuempower women while men are belittled.Men become inferior to women.
 

We subiria jera tu! Nimesoma uzi wako kwenye jukwaa letu lileee, umekula embe bichi na chumvi ya pilipili😎

Minimum years, 30years🙄
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Hawa madada wenyewe kileleni wanafika basi hata ujitume vipi we fikiria mtu mikonyagi mi ndovu cjui reds mpaka aje afike peak sio leo
Hata mimi hapo ndo huwa najiuliza kuwa inahitaji muda kiasi gani ili mwanamke afike?,maana siku hizi nahisi hata hilo neno la mwanamke kufika kileleni linaanza kuwa msamiati.
 
Mtu huna hisia naye ,mmekutana huko kwa sababu jamaa ana hela ,au demu wa kishua sijui ,au kwa sababu muda umeenda unataka kuolewa au kuoa , hamtaridhishana , hapo ukiongeza na kiepe yai ,mafuta ya taa kwenye misosi ,misongo ya mawazo dah kizazi hichi watakao salia ni wachache sana
 
Kuwa mwanaume siku hizi ni kazi......

Wanaume tumeumbwa matesooo mateso kuhangaika (enzi hizo)

Mapenzi shidaaa, fedha ndo kabisa, nifanye nini maana nahisi nadhalilika wahaladeeee (enzi hizi)

Alafu kuna jinsia inataka haki sawa...uanaume NI kazi zaidi ya kupaka wanja na kuuchanua upaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…