hali ni tete mkuu,watu hawajielewi wanavamia vamia mavitu wakikuta sinia la nazi twende,wakikuta sinia la pweza twende,wakikuta sinia la mihogo twende bora shari kuliko shari kamili mkuu,na jinsi wanawake wanavyochonga sasa wanaifanya hii vita kuwa pana zaidiHili ni janga na msiba mkuu
Siku hizi hakuta tena mada za akina dada kusifia wanaume kuwa wana shughuli pevu au wanajua kuhonga
Hakuna tena zile mada za akina dada/mama wakisimulia masaibu waliyokutana nayo baada ya kutoka na mwanaume fulani na kusuguliwa kwa masaa hadi kikawaka moto
Hakuna tena story za kuchoshwa mno kitandani mpaka siku ya pili kushindwa kwenda popote
Siku hizi ni story za malalamiko ya kutofikishwa popote...huku wanaume nao wakigeuka walalamikaji wakubwa kwa wanawake
Siku hizi kila ukiingia MMU huwezi kosa mada ya mwanaume kulialia. ..mwanaume unalialia!? Kweli! Mwanaume kutwa kucha ulalamika mitandaoni. !? Pathetic
Kweli eh....?!??mshana jr huoni kwamba hata wewe uzi wako upo kwenye mtindo uleule wa kulialia? Mi nadhani ungetoa suluhisho la tatizo ungekuwa umewasaidia wenzio....la sivyo biashara ya dildo unayoipigia kelele itaendelea kushika kasi au we unaonaje
We unaonaje binanuKweli eh....?!??
Malalamiko tu! Haya huyu analalamika wanawake kuvaa suruali kumemfanya awe na kibamia. Lolmshana jr, wanaume wamebaki wachache sana. Wapo walioamua kuwa mashoga, wapo mahanisi, wapo wenye vipisi vyao vya sigara, wapo wenye low sperm count, wapo one minute man, kwa kweli haya matatizo yameongezeka sana tangu na wanawake walipoamua kuvaa suruali.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] 15mnts anatafuna big G dildo zimetuharibia sanaUmoja na ujamaa wa wanafamilia nao hakuna vile vikao watu walivyokuwa wanakaa kuelezana matatizo yao na kusaidiana siku hiz hakuna kila mtu yuko busy..Sehemu pekee mtu anaona atapata msaada wa matatizo yake ni sehemu kama hii hapa...Sasa tusiwakatishe tamaa wale wanaokuja na kueleza matatizo yao hapa maana mficha maradhi.......Tukiangalia tatizo hili la nguvu za kiume haitakuwa haki tukiwaacha wanawake nyuma kwani nao wamechangia kwa kiasi fulani wanaume kushindwa kuwafika kileleni..Zamani mwanamke ulikuwa ukipiga dk 15 yeye keshamaliza haja yake tena si mara 1...Siku hiz utasugua hapo masaa manne yeye hata macho hayajaanza kulegea ndo kwanza anaendelea kuchat kwenye group la whasup na kutafuna big G..kama hamna hata kitu kilichoingia..jaman tuwe makini ukitaka kupata heshima hapo hakika hvi vifo vya guest vitaongezeka mno...
Ni shida mno unakutana na mwanamke amezoea kutumia hayo ma-dildo toka form 2 hadi shafu zote zimeshaota sugu...hakuna hisia tena halafu wewe unakuja unajifanya unataka umkomeshe na umemkuta keshamaliza hadi chuo hapo ....Hakika tunakuzika siku si zako....Mtihani ukute ndo umemweka ndani kama wife kabisa hakuna rangi utaacha ona...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] 15mnts anatafuna big G dildo zimetuharibia sana