Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,976
- 168,475
Baada ya karabai ya Ensol Solar kuwa ndio mwanga pekee usiku wa kuzaliwa mtoto huyu mgongoni mama yake kampa mtoto jina la Solar.
Imekaa kimatangazo ya biashara zaidi.
Hivi wale wanaoitwa baiskeli inawezekana wakati wa uchungu mamake alipelekwa hospitali kwa baiskeli eeh?..!!