Inasikitisha kuona CHADEMA wanawachangisha watu hela Iringa wakati wanapewa hela ya Ruzuku

Status
Not open for further replies.
View attachment 91208
Chadema inawakosesha watu usingizi!
Akilala Chadema!
Akiamka Chadema!
Usiku kucha kuota Chadema!
Mchana kutwa kuwaza Chadema!
Pole sana Chris Lukosi... mwili CCM, moyo Chadema!


Wewe jamaa bonge la mnafiki kila siku unasema hauna chama saizi unamshambulia Lukosi wewe unadhani maisha yako yatakuwa mazuri kwa kumtegemea Dr Slaa na Mbowe.

Unadhani kuongoza nchi ni sawa na kuongoza ukumbi wa disco au danguro.
 
Last edited by a moderator:
Viongozi wa CHADEMA hawana tofauti na wale matapeli wanaochezesha karata tatu.
 
Sisiem mnatia aibu,kutwa CHADEMA. Liwale Mbunge wenu na viongozi wandamizi wa chama na serikali wamechomewa nyumba pamoja na mifugo sababu ya magumashi yenu kwenye korosho. mimi nilitegemea kesi hizi na nyingine nyingi zinazofanana na hizi ndizo zingekuwa zinawakeep busy. Poleni sana 2015 mtaisoma namba.
 
Waacheni cdm wachangishe pesa hadharani tena kwa mtu kutoa bila kulazimishwa.Kuliko ccm wanavyopita kwa wafanyabiashara na kuwapangia kiasi cha kutoa bila kujali biashara yake inaendaje.CCM wana ruzuku kubwa sana iweje waje tena kwa vitisho kwa wafanyabishara?
 
Wewe jamaa bonge la mnafiki kila siku unasema hauna chama saizi unamshambulia Lukosi wewe unadhani maisha yako yatakuwa mazuri kwa kumtegemea Dr Slaa na Mbowe.

Unadhani kuongoza nchi ni sawa na kuongoza ukumbi wa disco au danguro.

Kama ameandika uharo kwanini asishambuliwe?Au kwakua ni gamba?Unadhani kuongoza nchi ni sawa na kucheka cheka tu na kuwa na madem lukuki na watoto kila kona?Ndo maana nchi imewashinda.Idiot!
 
Lukosi....imekuuma sana...mikutano cdm kama hii haijafika 50 acha umbea.
 
Last edited by a moderator:
huyu aliyeleta mada hapa yupo wapi? mbona amekimbia? hivi waliokulipa ulete huu uchafu hapa hawaonni kuwa wanakulipa kuwaharibia zaidi? KIJANA NJAA ZAKO ZITAKUFIKISHA PABAYA
 
Wewe jamaa bonge la mnafiki kila siku unasema hauna chama saizi unamshambulia Lukosi wewe unadhani maisha yako yatakuwa mazuri kwa kumtegemea Dr Slaa na Mbowe.

Unadhani kuongoza nchi ni sawa na kuongoza ukumbi wa disco au danguro.
Ritz, wewe ndio mnafiki kupita kipimo, kwani ukiwa na mzee wako hasidi Mohamed Saidi unakesha ukimtukana Nyerere kwa sababu ya ukatoriki wake na kwa sababu ya udini wenu hapa upo kuitetea CCM mpaka mapovu yanakutoka kwa sababu mwenyekiti wake ni muislamu mwenzako. Shame on you!
 
Unafikiri ruzuku ya chadema ni nyingi kiasi cha kutohitaji support ya wananchi? Tutaendela kuichangia chadema kama inawakera jinyongeni!
 
We Lukosi, tokea uhame CDM sijui akili ulisahau kuhama nazo manake we vitu vidogo sana unashindwa kuvifikiria.

Hivi unaijua gari anayotumia John Mnyika akiwa DSM? Kwa taarifa yako ni Toyota Vitz.... Wanaotumia magari ya kifahari kama akina Mbowe ujue walianza nayo tokea kitambo na wana vyanzo vyao vingine vya mapato.

Kuwaomba wananchi kukichangia chama chao sio swala la ajabu kwa sababu wanakua wanatoa kwa moyo wao na sio kwa kulazimishwa. Tofauti na chama chako hicho ambacho hulazimisha wafanyabiashara kukichangia na wanaokataa cha moto huwa wanakiona. Wengi wamefunguliwa kesi za ajabu au kutishiwa maisha kwa sababu ya kugoma kuwachangia.
 
Wewe jamaa bonge la mnafiki kila siku unasema hauna chama saizi unamshambulia Lukosi wewe unadhani maisha yako yatakuwa mazuri kwa kumtegemea Dr Slaa na Mbowe.

Unadhani kuongoza nchi ni sawa na kuongoza ukumbi wa disco au danguro.

Kama ameandika UHARO kwanini asishambuliwe?Naona mnataka kuyahamishia mabavu ya bungeni ktk social networks..,mmenoa MAJAMBAZI wakubwa nyie....!Unadhani kuongoza ni nchi ni kuchekacheka tu na kuwa na madem na watoto lukuki kila kona!?Ndo maana nchi imewashinda,hovyo kabisa..
 
Njaa ikizidi akili haifanyi kazi na hali hiyo ikiendela kwa muda ndiyo ulemavu wa kufikiri unatokea na hapo ndiyo ulemavu wa maisha.
CCM inakufa kwa mambo mengi sana mojawapo kubwa ni hili la kuchangisha fedha kutoka kwa wananchi wake matajiri kwa masikini.
Masikini anachanga indirectly, watakuongezea bei ya mafuta ya magari na vipuri nyanya iliyosafirishwa na hilo gari lilotumia mafuta kutoka shambani mpaka sokoni bei inapanda mtanzania huna njia kama ulikuwa unanunua nyanya mbili inabídi ununue moja lkn kwa bei ya juu kwa sababu gharama za mafuta zilizopanda zimefidiwa kwenye bidhaa iliyobebwa na lile gari enduser ndiyo anahusika kulipia gharama hiyo. Kitilya anaambiwa leta 100bn hawezi kataa hata kama hana atakopa lkn anajua pa kukamua.
Kuna sehemu kama NSSF, hela zinazokatwa ni za wafanyakazi walimu, madokta, nesi n.k wanaolipwa mishahara midogo CCM inakwendaga kuchukua fedha huko NSSF kwa ajili ya uchaguzi halafu wanasingizia serikali (remember kuna deni la taifa kila siku linapanda sijui wanakopa kwa ajili ya kufanya nini?)

Michango kwa matajiri(wafanyabiashara wakubwa) hapa ndipo CCM na serikali yake wanapojimaliza wenyewe.
Kipindi cha uchaguzi wowote ule hata wa balozi wa nyumba kumi10, CCM wanawaambiaga wafanyabiashara wakubwa watoe hela kwa ajili ya uchaguzi na hiyo ni lazima usipotoa ndiyo wanakuanzishia mizengwe ktk biashara yako. (ninapofanya kazi boss hana daz tunachonga tu kama kawa usije sema nimepata wapi hizi taarifa)
Tatizo linakuja kwenye payback yake sasa, mfanyabiashara anaingiza bidhaa nchini anataka msamaha wa kodi kwa nguvu na anamuamrisha waziri aende akawaambie TRA waachane na hizo bidhaa au analipia kodi ndogo(kumbuka wakati wa kuchangisha fedha huwa ni CCM inaenda kuchangisha fedha, payback yake mfanyabiashara anaiamrisha Serikali)
Hapa ndipo CCM inapokuwa janga la taifa.
Lukosi wewe unakaa huko u know nothing kuhusu kinachoendelea hapa bongo au kama unajua basi unalipwa per post & comment.
 
Lukosi unaangaika sana kila siku hukosi kasoro ya kutoa ulikuwa unategemea maudhurio yawe mabaya ili upate cha kuongea umekosa.......Nikukumbushe tu huu ni utaratibu wa vyama vya kikombozi siyo CDM tu hata Obama hufanya hivyo,Nyerere wakati anakwenda UN alichangiwa pia na hata CCM walichangisha watu kupitia SMS sasa cha ajabu nini?
Lukosi nikuhakikishie tu kabla ujapambana na Msigwa jiulize chama chako kitakupitisha?Mwakalebela the Ref.
Mtani naogopa kusikia swelaaaaaaa!
 
Ritz, wewe ndio mnafiki kupita kipimo, kwani ukiwa na mzee wako hasidi Mohamed Saidi unakesha ukimtukana Nyerere kwa sababu ya ukatoriki wake na kwa sababu ya udini wenu hapa upo kuitetea CCM mpaka mapovu yanakutoka kwa sababu mwenyekiti wake ni muislamu mwenzako. Shame on you!

Sijawahi kumtukana Nyerere napingana na baadhi mambo katika utawala wake, Nyerere kama mzee wangu siwezi kumtukana acha uzushi ningemtukana siku nyingi ningepigwa ban.
 
Wewe jamaa bonge la mnafiki kila siku unasema hauna chama saizi unamshambulia Lukosi wewe unadhani maisha yako yatakuwa mazuri kwa kumtegemea Dr Slaa na Mbowe.

Unadhani kuongoza nchi ni sawa na kuongoza ukumbi wa disco au danguro.

Bonge huyo anaeongoza sasa hivi alikua anashinda DISCO na bado kaweza? Kama mcheza disco kaweza kuongoza nchi, basi muongoza disco hawezi kushindwa kuongoza.
 
Mkuu Chris Lukosi
Maneno mazito sana uliyosema tatizo ni wale waganga njaa wanaoshinda JF ndio wanaopiga kelele wanatetea posho ndipo wanapoponea. Mkuu mwaka huu lazima watapike sumu ya ujinga walionyeshwa lambalamba inafanya kazi
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Yes, kuwa successful business man katika project mbali mbali lazima uwe na kitabu cha mahesabu na ufahamu nini maana ya debit & credit. Kwani hujui wahenga walisema mali bila daftali hupotea bila mwenye mali kuwa na taarifa.

Liko wapi hilo daftali la mali inayochangwa kwa hii project?.

Hata kama ni mradi binafsi, lazima uwe na daftali kama ilivyo kwa Democratic ya President Obama.

Kama isivyojulikana kwa majina kwa wale wanaochangia hii project ya CHADEMA na isiwe ndiyo sababu ya kutokuwa na daftali.

This is just small ask but very important

Financial report za chadema zinaletwa kwenye vikao husika vya chama ikiwepo baraza kuu.Imeandaliwa pia kwa ajili ya ukaguzi wa CAG, na iko very clean. Hata hivyo, iko wazi kwa Chris Lukosi aende pale makao makuu watampa, Lakini humu mitandaoni unategemea kupata jibu kutoka kwa nani kama siyo unafanya kazi ya NAPE ya kueneza propaganda mbaya dhidi ya Chadema? Naomba kumwuliza Chris Lukosi kama anajua Financial report ya CCM ya Miaka walau 5 iliyopita na ilikaguliwa na nani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom