Inasikitisha hatuna ma- it wa ukweli.

Inasikitisha hatuna ma- it wa ukweli.

nafikiri google ilipokuja ndio ulikuwa mwisho wa kuuliza, sasa kuna wajinga wamejifungia ndani ya box hawataki kutoka
 
Sasa kosa lako la kusahau password au login information unadhani litatatuliwa na mtu wa IT zaidi ya hiyo re-installation? Hizi ideas zipo sana maofisini, unakuta mtu ana.create account yenye options kibao iwapo atakuja kusahau password, halafu unakuta amesahau kila kitu kuanzia password yenyewe, alternate e-mail hadi secret questions, halafu anategemea msaada wa Systems Admin ambaye hana privilege yoyote kwenye hiyo system, basi ili mradi tu unaitwa mtu wa IT kila system wanadhani utaweza kuingia!
Na huwa wananikera sana haswa wakinikuta niko katika mwezi mchanga nashidwaga kuwavumilia
 
nafikiri google ilipokuja ndio ulikuwa mwisho wa kuuliza, sasa kuna wajinga wamejifungia ndani ya box hawataki kutoka

Unafikiri kuna mtu anaitwa google anajibu maswali? Ni search engine tu ambayo inatafuata majibu kwenye website mbali mbali ikiwemo JF
 
Poleni sana wana IT kwa haya maneno ya huyu bwana,ila alichokiandika si kigeni kwa wale tulio maofisini.
Hivi niulize matatizo ya simu nayo ni ya IT au IT atasaidia kama anaweza?
Pia mimi IT kwa mfano ninakisimu cha ngu simple say Nokia E5 wewe unataka nikusaidie hiyo blackberry/ipad yako na mimi sina blackberry/ipad wala sijui kuitumia.Nikishindwa utanicheka?
Kumejenga tabia ya watu kudhani kwamba IT anatakiwa ajue kila kitu,simu,redio,utaletewa hata saa imesumbua wewe utatue ikwezekana na jiko la umeme unaweza letewa.Huyu jamaa aliyepost haelewi alichoandika na hajui hapa tunapita onetime kusaidia tunapoweza.
Ebu tujaribu hii,watu wote wa IT tunaotoa support tuanze kutoza pesa kwa kila msaada utakao ombwa,wangapi watakuwa tayari kulipa?
Mara ngapi tumesaidia watu hapa hata kusema "Thank you" hawasemi.
Kuna watu wameomba misaada,wakiambiwa una sh nagapi tufanye kazi wanakimbia,hapa hatulipani tunasaidiana so ukikosa msaada si isuue kwani hata kabla hujaja hapa tatizo lilikuwepo na kama umekuja hapa na tatizo halijatoka what is the problem.No change
Keywords zao
msaada software... ya bure...
naomba key za ....(siyo nataka kununua..)
Mwenye key za office 2010 anisaidie

IT wake up,start getting money from your services whether online or ...remote support..

Mnakumbuka thread ya "watu wa jukwaa hili ni wa ajabu"?
 
Back
Top Bottom