Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,165
- 5,621
hapa, unalipa sh. ngapi kupewa msaada? watu wanajitolea tu kutoa msaada na hawalipwi kitu
A Good point!
hapa, unalipa sh. ngapi kupewa msaada? watu wanajitolea tu kutoa msaada na hawalipwi kitu
A Good point!
Yeah, hii simu atakuwa ameiiba mahali fulaniKwa maelezo yake huyo hiyo sii simu yake atakuwa ameipiga sehemu sasa anatafuta pa kutokea ...
Yeah, hii simu atakuwa ameiiba mahali fulani
Kwa maelezo yake huyo hiyo sii simu yake atakuwa ameipiga sehemu sasa anatafuta pa kutokea huwezi ukasahau password,hata yale maswali ya security hata kurestore password umeshindwa hapo ndo naamini kabisa hiyo si simu yako.
Yeah, hii simu atakuwa ameiiba mahali fulani
Hahaaa simple, unamwonyesha Guest house kisha unampitisha restaurant halafu mnaagana!ni sawa na mgeni anaingia kwako anaanza kukuprovoke, tangu nimefika hata chai hamjanipa, kwanza hamjui kupika, hata km ulikuwa na nia ya kumpa chai unaachana nae. uwa sipendi watu wa namna hii, hata msaada sitoi
Huyo mosara unampitisha Restaurant wa nini labda akione chakula na hakuna kumlipia na mtangulishze Chooni akiingia tu kujisaidia muache solembaHahaaa simple, unamwonyesha Guest house kisha unampitisha restaurant halafu mnaagana!
Jamaa mgumu kukubali makosa, nimemfuata kwenye uzi wake mwingine wa mapambio na kumshauri aje kutuomba msamaa but yaonekana ni jeuri wa asiliHuyo mosara unampitisha Restaurant wa nini labda akione chakula na hakuna kumlipia na mtangulishze Chooni akiingia tu kujisaidia muache solemba
Hawezi kudharau Jukwaa hili, mtu gani asiye na shukrani hataki hata kwenda google na saa hiozi kafungua thread ingine tena wakati huku keshapewa majibu yeye anakimbia