Inasikitisha hatuna ma- it wa ukweli.

Inasikitisha hatuna ma- it wa ukweli.

mosara

Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
20
Reaction score
4
[h=2]SOMA HAPO CHINI.
Nimepata only two reply, lakian was not helpful, walionijibu nawashukuru sana lakini si dhani kama wao ni ma-IT wa ukweli, hawako detailed. wana JF msaada bado kwa hiyo thread hapa chini.

Masada WA ku- unlock my phone: Samsung galaxy s.[/h]
Ni simu yangu niliinunua 2 years back. password ya kufungua simu naifahamu, ila kuna mtu aliichezea kwa kujaribu kuifungua, kisha ikajifunga. TOO MANY PATTERN ATTEMPTS! Now inahitaji ni sign in with my Google account ili ifunguke.
Tatizo nimesahau na pale nilipotunza hiyo my Google account and password nimetafuta sana in three days sijaona hizo kumbukumbu. PIA NI COUNTY SIDE. Hiyo WANA JF, naomba msaada wenu. SIMU ZINAINGIA KAMA KAWAIDA, TATIZO SIWEZI KUPIGA NA KUFANYA MAMBO YOTE MENGINE YA MUHIMU. Ni very serial issue!! Ahsanteni.

naomba mosara asitokee wa kukusaidia, kama hujui kuappreciate hapa sio mahali pako, peleka kwa mafundi mtaani, usisumbue watu hapa, unalipa sh. ngapi kupewa msaada? watu wanajitolea tu kutoa msaada na hawalipwi kitu
 
Last edited by a moderator:
[h=2]SOMA HAPO CHINI.
Nimepata only two reply, lakian was not helpful, walionijibu nawashukuru sana lakini si dhani kama wao ni ma-IT wa ukweli, hawako detailed. wana JF msaada bado kwa hiyo thread hapa chini.

Masada WA ku- unlock my phone: Samsung galaxy s.[/h]
Ni simu yangu niliinunua 2 years back. password ya kufungua simu naifahamu, ila kuna mtu aliichezea kwa kujaribu kuifungua, kisha ikajifunga. TOO MANY PATTERN ATTEMPTS! Now inahitaji ni sign in with my Google account ili ifunguke.
Tatizo nimesahau na pale nilipotunza hiyo my Google account and password nimetafuta sana in three days sijaona hizo kumbukumbu. PIA NI COUNTY SIDE. Hiyo WANA JF, naomba msaada wenu. SIMU ZINAINGIA KAMA KAWAIDA, TATIZO SIWEZI KUPIGA NA KUFANYA MAMBO YOTE MENGINE YA MUHIMU. Ni very serial issue!! Ahsanteni.

Ulitumia password au pattern unlock??

Sent from my SGH-I897 using Tapatalk 2
 
Ahsnte for a very good question.

Nilikuwa natumia TO DRAW PATTERN na mpaka sasa nakumbuka how to unlock it by pattern unlock, isipokuwa jamaa yangu alijaribu mara zaidi ya tatu ku unlock by pattern keys, ndipo ilipoleta TOO MANY PATTERN ATTEMPTS!!Sasa indai TO UNLOCK, SIGN IN WITH YOUR GOOGLE ACCOUNT. Kazi iko hapo mkuu, details zangu zilikuwa ndani ya hiyo simu kwenye MEMO. Home nilipotunza kumbukumbu zingine nimetafuta kwenye nyaraka zangu mpaka HOI.

Ahsante.
 
Sasa unaomba msaada kwa nani kama unajua hakuna ma-IT-. Kwan ni lazima? Fata ushauri mzuri wa C6,nenda kwa mafundi. Ushauri wa bure kuwa na japo busara kidogo istoshe kuna mawili unapoomba msaada usaidiwe ama husisaidiwe.
 
Hapo huna ujanja mkuu, cha kufanya reinstall android version unayotumia, ila kuwa tayari kupoteza data zilizomo kwenye cm
 
Ahsnte for a very good question.

Nilikuwa natumia TO DRAW PATTERN na mpaka sasa nakumbuka how to unlock it by pattern unlock, isipokuwa jamaa yangu alijaribu mara zaidi ya tatu ku unlock by pattern keys, ndipo ilipoleta TOO MANY PATTERN ATTEMPTS!!Sasa indai TO UNLOCK, SIGN IN WITH YOUR GOOGLE ACCOUNT. Kazi iko hapo mkuu, details zangu zilikuwa ndani ya hiyo simu kwenye MEMO. Home nilipotunza kumbukumbu zingine nimetafuta kwenye nyaraka zangu mpaka HOI.

Ahsante.[/QUOTE
Duh!!
Just download stock rom ya samsung galaxy S then flash it via Odin!!

Sent from my SGH-I897 using Tapatalk 2
 
Sasa kosa lako la kusahau password au login information unadhani litatatuliwa na mtu wa IT zaidi ya hiyo re-installation? Hizi ideas zipo sana maofisini, unakuta mtu ana.create account yenye options kibao iwapo atakuja kusahau password, halafu unakuta amesahau kila kitu kuanzia password yenyewe, alternate e-mail hadi secret questions, halafu anategemea msaada wa Systems Admin ambaye hana privilege yoyote kwenye hiyo system, basi ili mradi tu unaitwa mtu wa IT kila system wanadhani utaweza kuingia!
 
kwanza huwezi ukajaribu mara tatu simu ikajilock kingine huitaji fundi wa wa simu kama ushaambiwa ufungue email yako ya Google kama hujui jinsi ya kuomba password mpya karaghabao
 
Nashukuru, ila mm sielewi chochote, ila ninazo cd mbili original za hi phone. Kama kuna mtu aliye na ujuzi please, amitumie namba zake humu nitam call, or tutaongea.
 
Sasa unaomba msaada kwa nani kama unajua hakuna ma-IT-. Kwan ni lazima? Fata ushauri mzuri wa C6,nenda kwa mafundi. Ushauri wa bure kuwa na japo busara kidogo istoshe kuna mawili unapoomba msaada usaidiwe ama husisaidiwe.

Huo jamaa hata mimi amenikera sana!
 
Nmeckitka sana kuona jinsi ulvyo2shutum hapa
but thread ako inaonesha umefyum kinomA,
me nngekushaur 2 kwamba tafuta solution ktk Technology forums nyngne mbona zpo nyng tu
hlf ukfankiwa uje u2eleze umefankiwa vp!
Hvyo ndvyo jf' 2navyofanya.
Lkn ukja na post zilzojaa hacra na kebeh hutapata helpful solution,
weng we2 humu n wafuga hacra so mpaka sasa watu wamesha mark jna user name yako na cdhan kama cku nyngne watakusaidia na mwishowe utaambulia matuc 2.
We hujiulz n wangap waliofankiwa?
Leo uje ww useme ha2na maIT wa uhakika!
~JIFUNZE KUWA na ADABU sio kila utakachoulza lzma jbu lake lpo Jf
na mwsho nna wacwac kama hyo cm n yako.

#sayay theComputerGUY
 
Nashukuru, ila mm sielewi chochote, ila ninazo cd mbili original za hi phone. Kama kuna mtu aliye na ujuzi please, amitumie namba zake humu nitam call, or tutaongea.

hzo cd haziwez kukusaidia kitu kaka na usiwaze kuflash simu we fight kuifungua account unless simu isiwe yako
 
kama tatizo ni account si utengeneze nyingine, au recover password changua option ya mobile, weka line kwenye simu nyingine.
 
mosara heshima ni ki2 cha bure, tafadhali funga hii thread uende kwa mafundi cm mana una dharau sana kaiunlock mwenyewe nenda kwa ma it wa kwel funga safar uende india ukaipe simu yako matibabu pumbavuuu tokaaaa mpuzi we
 
SOMA HAPO CHINI.
Nimepata only two reply, lakian was not helpful, walionijibu nawashukuru sana lakini si dhani kama wao ni ma-IT wa ukweli, hawako detailed. wana JF msaada bado kwa hiyo thread hapa chini.

Masada WA ku- unlock my phone: Samsung galaxy s.

Ni simu yangu niliinunua 2 years back. password ya kufungua simu naifahamu, ila kuna mtu aliichezea kwa kujaribu kuifungua, kisha ikajifunga. TOO MANY PATTERN ATTEMPTS! Now inahitaji ni sign in with my Google account ili ifunguke.
Tatizo nimesahau na pale nilipotunza hiyo my Google account and password nimetafuta sana in three days sijaona hizo kumbukumbu. PIA NI COUNTY SIDE. Hiyo WANA JF, naomba msaada wenu. SIMU ZINAINGIA KAMA KAWAIDA, TATIZO SIWEZI KUPIGA NA KUFANYA MAMBO YOTE MENGINE YA MUHIMU. Ni very serial issue!! Ahsanteni.

Siku nyingine mtembelee Mr. Google, huwa si mchoyo wala hachelewi kukupa majibu.

  1. Turn the power off. If your Samsung Galaxy S is frozen, pull the battery out and reinsert it
  2. Hold the Volume Down button
  3. Press and release the Power button
  4. You are now presented with a menu that allows for Fastbook, Recovery, Clear Storage, and Simlock
  5. Select Clear Storage by pressing the Volume Down button
  6. Press and release the Power button
  7. Now simply confirm your decision: Volume Up for YES and Volume Down for NO
If you selected YES, all data including third-party applications will be deleted from the Samsung Galaxy S. Once the wipe is complete, the phone will reboot to its factory fresh state.
 
atarudi tena kuuliza mtaalamu wa IT ww subiri tu
 
Alichonikera ni kuwa hii ni sehemu moja ya Jf inayotoa elimu kubwa,mimi mwenyewe si mtu wa IT ila kupitia jukwaa hili nkmejifunza mambo mengi sana na naendelea kujifunza sana
eg
1_hakuna mtu atakula pesa yangu kisa "window is not genuine kwa xp au win 7 na soin win 8
2_kufanya pc yangu izime kwa muda naotaka ata kama sipo na ata zikiwa pc zaid ya 2 zilizopo kwenye network 1
Na mambo mengine kibao,sasa watu wa IT wakitukanwa humu najisikia vibaya sana. Pia si paka uwe na shida jamani ndiyo mtembelee humu pitieni kuna elimu kubwa. Nitakuwa mbali paka mwaka huu ukiisha kwa elimu ya IT. Msife moyo watu wa IT, ENDELEENI KUTUSAIDIA KIJANA AMETELEZA JAPO HATAKI KUOMBA MSAMAHA
 
Back
Top Bottom