Inashangaza sana hii

Inashangaza sana hii

Wanaume huwa mnajiona wajanja muda wote, what if huyo dada ndio asingekuwa wa kuaminiwa na jamaa yako asiwe salama!! Au umesahau ya mdude wa chadema?
 
Dunia imebadilika watu kukutana online sio kitu kipya
Muhimu fanya verification ya mtu
Zungumzeni Kwa video call kwanza
Yeah angalau lakini hawa ni tofauti means kaja jamaa hajui hata sura yake kumbe fb hakuwa yeye
 
Unafikiri ni introvert wangapi wanaweza hilo zoezi..??
Kutokana na nature ya introvert persons ni wachache wanaweza Kufanya hivo mostly ni watu wanaopenda kuwa alone sana mambo yao yawe ya kwao hawako social kihiiivo so kuchukua maamuzi haya hata kwao inaweza kuwa ni kwa sababu ka jirisk saaaaana
 
Kutokana na nature ya introvert persons ni wachache wanaweza Kufanya hivo mostly ni watu wanaopenda kuwa alone sana mambo yao yawe ya kwao hawako social kihiiivo so kuchukua maamuzi haya hata kwao inaweza kuwa ni kwa sababu ka jirisk saaaaana
Nafikiri tushaelewana sasa
 
Wakati nipo Moro kuna jamaa aliniunga ktk group Fulani la whatsap sasa tunakawa member kama 10 hivi nadhani group lilikuwa jipya kwa kuwa mm nilikuwa cpendi nikaweka picha yangu profile ya group ili admini anitoe mara nikakuta tex inbox kuna manzi ananiulizia kuhusu lile group nikamwambia nami mgeni cjui chochot basi tukaendele kuchati na yule manzi akaniambia yupo kwa musoma mwisho wa cku tukamia side B zikapigwa story za mapenzi manzi akatuma picha kibao za utupu vidio usipime jilipokuja dar nae akasema anakuja kwanza ckuamini mara ananiambia tumelala Moro kesho yake mida ya saa 5 yupo mbezi nikamfuta duuh bonge na dude zaidi ya kilo 100 nikamwangalia ,nikamchukua nikampeleka kupumzika jioni nikamwambia aende kwa shangazi yake banana ndio mazima hiyo ckuonanana nae teeena nikampotea ameliaaaaaa weeee nikaachana nae

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom