Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,151
- 8,435
Wana JF wote nawasalimia,
Natumaini mpo powa.
Husika na kichwa Cha habari hapo juu,Leo nimeona mahali mifuko ya plastic maarufu Kama Rambo inatumika Kama vifungashio,
Sasa wakuu nimejaribu kumuuliza aliyeubeba akananimbia waliruhusu Toka mwezi wa nne
Ila Mimi binafsi sikuona tangazo la kuiruhisu mbaka napata hofu labda Kuna watu wanaamua kuihujumu Serikali,
Mifuko ya plastic maarufu Kama Rambo inasababisha uharibifu mkubwa wa mazingira sie wenyewe ni mashahidi wa Hilo tokea ilipopigwa marufuku huku bara kumekua na ahueni kwenye majiji makubwa kama
Dar Es Salaam maana uchafuzi ulikua wa kiwango kikubwa Sana ila baada ya kupigwa marufuku ahueni tumeiona,
Sasa nauliza hiyo taarifa ya kurudishwa ni ya ukweli au Kama Bado nipo kizani!
Anyway picha Sina ya hizo mifuko mtajazia wenyewe mkipata!
The terrible!