Inashangaza: Je, mifuko ya plastic imerudi mtaani?

Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
4,100
8,287
Wana JF wote nawasalimia,
Natumaini mpo powa.

Husika na kichwa Cha habari hapo juu,Leo nimeona mahali mifuko ya plastic maarufu Kama Rambo inatumika Kama vifungashio,

Sasa wakuu nimejaribu kumuuliza aliyeubeba akananimbia waliruhusu Toka mwezi wa nne
Ila Mimi binafsi sikuona tangazo la kuiruhisu mbaka napata hofu labda Kuna watu wanaamua kuihujumu Serikali,

Mifuko ya plastic maarufu Kama Rambo inasababisha uharibifu mkubwa wa mazingira sie wenyewe ni mashahidi wa Hilo tokea ilipopigwa marufuku huku bara kumekua na ahueni kwenye majiji makubwa kama
Dar Es Salaam maana uchafuzi ulikua wa kiwango kikubwa Sana ila baada ya kupigwa marufuku ahueni tumeiona,

Sasa nauliza hiyo taarifa ya kurudishwa ni ya ukweli au Kama Bado nipo kizani!

Anyway picha Sina ya hizo mifuko mtajazia wenyewe mkipata!

The terrible!
 
Me nadhani irudi tu, maana unaenda dukani kununua bidhaa ya jero but unaambiwa mfuko 200. Tangu nimezaliwa nimeikuta ile mifuko hadi nimekuwa mtu mzima sijaona madhara yoyote. Kuhusu uchafu dsm hata wangeleta nini bado dsm ni chafu sababu ya nature ya watu wenyewe. Wengi wachafu.
 
Iko wapi?
 
Simple. Weka sheria kali yenye faini na kifungo na iwe active alafu uone kama mtu atatupa mfuko sehemu isiyo sahihi.
 
hahaaahaa huyu jamaa kweli bwege Sana yaani et iruhusiwe tu visababu anavyotoa hata mtoto wa shule ya msingi kishumundu 'A' atamuona chenga!
 
Kama wameiruhusu basi ni wapumbavu na wamepungukiwa akili. Yoyote aliyehusika katika kuruhusu matumizi ya hii mifuko ni mkosefu mkubwa wa akili, ameangalia yeye na familia yake.
 
Hujaona madhara ya mifuko ya plastic? Ujinga unatumaliza watanzania
Me nadhani irudi tu, maana unaenda dukani kununua bidhaa ya jero but unaambiwa mfuko 200. Tangu nimezaliwa nimeikuta ile mifuko hadi nimekuwa mtu mzima sijaona madhara yoyote. Kuhusu uchafu dsm hata wangeleta nini bado dsm ni chafu sababu ya nature ya watu wenyewe. Wengi wachafu.
 
Huyo atakuwa ngumbaru
 
Mkuu, Acha roho ya Bibi yako...Acha watu wapige pesa
Naona umepata kibarua Cha kuchakata Rambo na umeajiriwa na mhindi Kwa malipo ya buku jero Kwa siku
Ila jua unatengeneza sumu ya kuulia mazingira watu Kama nyie ndio mnaoihujumu Nchi aiseee!
 
Back
Top Bottom