Inashangaza: Je, mifuko ya plastic imerudi mtaani?

Kuna watu wanafanya kila hila na mbinu ili wafanikishe miradi ya watu na wapate % zao
Sio wengine bali ni hao waliopewa dhamana
Wana uwezo wa kuingiza chochote hata kama ni madawa fake na kuuwa mifugo yote wao hawajali

Na hii mifuko kama ipo ni muendelezo tu wa upigaji Ila hawajali wanyama wanakula hiyo mifuko na kufa
Baharini nako ndio balaa zaidi samaki wanakufa sana kwani plastics zinakatikakatika na kuwa particles

Wanajionesha Uzalendo wa scarf na bendera tu
 
mkuu umenena haswa Hawa jamaa wanawaza matumbo Yao tu hawajali chochote Kwa wananchi wao wale akilipwa mishahara minono,posho nzuri,gari Kali V8 per diem za kuzidi,na wakigawana vitega uchumi vya Nchi Kwa upigaji wanaona mambo swaaafiiii
Mbaka wanadiriki kusema Kama tuna malalamishi Sana tuhamie Burundi
Aaaaagh inaumiza Sana!
 
Watu wengi wananufaika kwa mambo haya
Hayataisha maana wanaona umasikini wetu ndio utajiri wao wa kupiga madili ya kufa mtu
 
Back
Top Bottom