IKUNGURU IJIRU CHUKU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2021
- 484
- 541
Nashukuru kuniahisha dhamani. Sijui kweli. Hebu niambie niipi maana ya ICDwewe unajua nini? si ajabu hata neno ICD hujui linamaanisha nini
Nashukuru kuniahisha dhamani. Sijui kweli. Hebu niambie niipi maana ya ICDwewe unajua nini? si ajabu hata neno ICD hujui linamaanisha nini
Ndani ya miezi kadhaa nchi ishamshinda, watu hawana uoga wa kuiba, tena sasa wataiba mara dufu kwa sbb ya aiba ya kiafrika ya kudharau jinsia ile!Wenye ICDs inasemekana wameshaanzisha ushirika na wakubwa huko TPA ili makontena yawe yanaelekezwa kwao kama zamani kabla ya Utawala wa JPM kuzuia makasha mengi kuelekezwa ICDs hadi pale tu Bandarini kutakuwa kumejaa.
Sasa inasemekana hali imerejea kama zamani na tayari wenye ICDs wameanza kutamba tena!
Ifahamike wizi wa makontena ni rahisi sana kama mzigo umefikia ICDs.
Huna unachoweza wewe zaidi ya longo longo.Wakuu utaratibu wa kuanzisha kampuni hauna longolongo?...natarajia kujaza form BRELA nianze kufanya logistics tuinue uchumi wa nchi.
nyoosha lugha. sijaelewa unamaanisha niniNashukuru kuniahisha dhamani. Sijui kweli. Hebu niambie niipi maana ya ICD
Kilichoikuta TICTS unakuja kweli?Nyie watu wa Jiwe ni weupe hadi mnaboa!! Kwani hizo ICD zilifungwa lini?! Au bado upo Kolomije na mambo ya mjini huyajui?! Na ndo maana wala hufahamu kwamba container terminal inaendeshwa na TICTS!! Na ndo maana wala hufahamu kwamba ICDs kwa sasa haziepukiki unless mizigo ipungue sana bandarini.
Sawa kabisa. Chukua mfano wa Yusuf Manji. Babu yake alikuwa ndiye mmiliki wa Quality Garage pale Pugu Road ilivyokuwa inachonga mabodi ya mabasi yote nchini kuanzia UDA, KAMATA, SCANDINAVIA nk.Aliwachukia matajiri lakini akakosa cha kufanya akaishia kuwakomoa, akisahau kuwa tajiri mmoja akigeuka kuwa shetani wale maelfu aliowaajiri wanakufa na njaa.
Mizigo ndiyo inakwenda icdWenye ICDs inasemekana wameshaanzisha ushirika na wakubwa huko TPA ili makontena yawe yanaelekezwa kwao kama zamani kabla ya Utawala wa JPM kuzuia makasha mengi kuelekezwa ICDs hadi pale tu Bandarini kutakuwa kumejaa.
Sasa inasemekana hali imerejea kama zamani na tayari wenye ICDs wameanza kutamba tena!
Ifahamike wizi wa makontena ni rahisi sana kama mzigo umefikia ICDs.
Taja wewe unayejua lakini wasiojua wanajua TICTS wapo bukheri wa afya wakiendelea kufaidi matunda ya mkataba wa ovyo chini ya Utawala wa Hayati Ben! Sana sana huenda hivi sasa wanahaha huku na kule kuhonga watu ili hatimae mkataba wao unaoisha mwakani uwe extended kama hujakuwa extended kinyemela kabla ya kwisha kwake!!Kilichoikuta TICTS unakuja kweli?
Nonsense!Suluhisho ni katiba mpya tu.
Taja wewe unayejua lakini wasiojua wanajua TICTS wapo bukheri wa afya wakiendelea kufaidi matunda ya mkataba wa ovyo chini ya Utawala wa Hayati Ben! Sana sana huenda hivi sasa wanahaha huku na kule kuhonga watu ili hatimae mkataba wao unaoisha mwakani uwe extended kama hujakuwa extended kinyemela kabla ya kwisha kwake!!
Kama taratibu zote zinafatwa Hakuna shaka,Hii ipo duniani pote.Wenye ICDs inasemekana wameshaanzisha ushirika na wakubwa huko TPA ili makontena yawe yanaelekezwa kwao kama zamani kabla ya Utawala wa JPM kuzuia makasha mengi kuelekezwa ICDs hadi pale tu Bandarini kutakuwa kumejaa.
Sasa inasemekana hali imerejea kama zamani na tayari wenye ICDs wameanza kutamba tena!
Ifahamike wizi wa makontena ni rahisi sana kama mzigo umefikia ICDs.
Yule mzee hakuwahi kupambana na ufisadi bali alipambana na waliogoma kumsujudia kwa kuwachapa fimbo ya ufisadi, huwezi ukapambana na ufisadi ukiwa fisadi.Mtu yeyote anayeamini kuwa Magufuli alikuwa anauchukia ufisadi kwa dhati ninamdharau sana. Yeye alikuwa anachukia watu wenye fedha zao bila kujua wamepataje.
Hizi ICD ni logistically accepted worldwide kama namna ya ku decongest Port operations na kuongeza efficiency. Ila yeye alidanganywa na akina Renatus Mkinga akasema ni wizi
Hakuna maendeleo bila kuliwa"Ukitaka kula,lazima ukubali kuliwa" Aliongea kiongozi mstaafu wa taifa moja lililoko karibu na jua.
Manji ni mmoja tu. Nenda Arusha uone shule za kimataifa zilivyofungwa kwa sababu za kipuuzi tu. Watu wanajitolea kusomesha watoto wa kitanzania, na kuendeleza vipaji vyao, serikali kila siku inawatuma TRA waende wakawasumbue.Sawa kabisa. Chukua mfano wa Yusuf Manji. Babu yake alikuwa ndiye mmiliki wa Quality Garage pale Pugu Road ilivyokuwa inachonga mabodi ya mabasi yote nchini kuanzia UDA, KAMATA, SCANDINAVIA nk.
Mpaka mwaka 2015 makampuni ya Yusuf Manji chini ya Quality Group yalikuwa yanaajiri Watanzania zaidi ya 3,000. Na alikuwa ndiye mnunuzi na exporter mkubwa wa mbaazi na ufuta.
Kama alikuwa na matatizo Basi yalipaswa yatatuliwe kwa maongezi na siyo kwa kumuundia kesi FAKE ili tu aishi rumande.
Unam traumatize Manji, anaondoka, wafanyakazi 3,000 wanapoteza kazi, wakulima wanashindwa kuuza mbaazi, unakosa Kodi hata kama ni Kodi kiduchu. Je hiyo ni akili au mavi?
Hizi chuki za Mwendazake dhidi ya matajiri ndizo zimemkasirisha MUNGU wetu, ndiyo maana Mwendazake amekufa licha ya kuwa chini ya ulinzi wa hali ya juu na Madaktari full-time.
Ni sawa na mtu ambaye baada ya kuona kuna panya anasumbua ndani ya nyumba, anaamua kuchoma nyumba ili amuue panya.Manji ni mmoja tu. Nenda Arusha uone shule za kimataifa zilivyofungwa kwa sababu za kipuuzi tu. Watu wanajitolea kusomesha watoto wa kitanzania, na kuendeleza vipaji vyao, serikali kila siku inawatuma TRA waende wakawasumbue.
Wazungu wanabakia wakishangaa namna wanavyosumbuliwa pasipo sababu za msingi. Wakaona isiwe taabu waondoke zao waende nchi jirani. Fikiria watu wanajitolea kuwasomesha watoto wa kitanzania kwa kugharamia kila kitu, lakini mamlaka za kodi zinawasumbua kila kukicha!.
Kuna wafanyabiashara wa maua kule chekereni, wamejikuta wakifunga biashara zao kwa sababu ya usumbufu wa TRA usio na ulazima.
Alipomtesa Manji hakufikiria impact yake itakuwa vipi, alidhani anamkomoa yeye kama yeye kumbe anaua biashara nyingi zinazotegemeana na uwekezaji wa tangia baba yake mzazi.