Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,765
- 182,892
Sijapotea mbona! Nipo sana dear. Labda tunapishana.Sijambo! Umepotea sana. Nimefurahi kukuona tena.
Sijapotea mbona! Nipo sana dear. Labda tunapishana.Sijambo! Umepotea sana. Nimefurahi kukuona tena.
Basi itakuwa tunapishana. JF kumbe ni pana kiasi hiki!Sijapotea mbona! Nipo sana dear. Labda tunapishana.
Ujue kipindi fulani huyu bibie Kila nikimtag kama 'shindikana' nashindwa, ila wewe Kila ukimtag imooo!Halafu shindii ,unanichukulia poa 🤣 tukikutana unaanza , kuangalia pembeni kwa aibu🤣
Binti ni huyo aliyevaa raba nyeupe na boshori nyeusi yenye maandishi meusi kamlalia bega dereva.Hii picha kila nikiangalia sioni! Na huyo binti Espy_ anayemzungumzia yupo wapi
Nisamehe bwashee 😂Tulia bwashee
Daah mzee wangu naye kanigeuka leo😂😂 aisee, si tulikubaliana mimi ni mtu safi?Mangi angalia usujekuwa kana de gana!
Usimfananishe de Gunner na waleviUkute ndio yeye🤣
Word, WordBwashee wewe ni mtu safi sana tulia usiwe na wenge , kila siku nakuambia
Njoo kwa mama shirima uone kama nina aibu!Jifariji kwenye mitandao shindii ,nikikukuta uanze kuangalia pembeni😃
Pana sana🤣Basi itakuwa tunapishana. JF kumbe ni pana kiasi hiki!