Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,175
- 4,548
Umekunywa?
Tuendelee kumuheshimu sana.Bro wangu wa damu sana bwashee
š Si ndoapo nakusumbuaje yani šHaujawahi
Niaje madam atoto.Ukute ndio yeyeš¤£
Kingine unataka nini? Ili nitume vyote kwa pamojaUnannyima picha ya takoš¤
Wewe mbona fimbo tu unanyookaš¤£š¤£Shindii unajua , nitaacha vyote nikukabidhi hili furushi la maisha yangu ? Tuone utafanya nini š
Nimkute binti yangu hivi walah hamna rangi ataacha onašāāļøšāāļøšāāļøšāāļø
Ni poa bwana ndege! Hujambo?Niaje madam atoto.
Hivi umeona clip yao vizuri? Aisee, ni huzuniā¦ā¦Muda wote wanatafuna mirungi.Nimkute binti yangu hivi walah hamna rangi ataacha onašāāļøšāāļøšāāļøšāāļø
Mangi vinaanza taratibu namna hii, badae utatuletea mambo ya hovyo hapašMangi tulia mimi mchangamsha kijiwe tu š¤£
Hahahahaaa..Fungu langu kivipi ? Wapi nilisema nachagua mafungu?
Sijambo! Umepotea sana. Nimefurahi kukuona tena.Ni poa bwana ndege! Hujambo?
Daaah sijaionašāāļøHivi umeona clip yao vizuri? Aisee, ni huzuniā¦ā¦Muda wote wanatafuna mirungi.
š¤£š¤£š¤£š¤£ mimi na aibu hatukai pamoja.Halafu shindii ,unanichukulia poa 𤣠tukikutana unaanza , kuangalia pembeni kwa aibuš¤£
Kwamba yanaweza yakamkuta ya mwandambo?Mangi vinaanza taratibu namna hii, badae utatuletea mambo ya hovyo hapaš