Inasemekana hii ndiyo orodha ya viongozi waliothibitisha kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe

Ningeshangaa na hata Kusikitika sana tu kama Rais wetu na Marais wote Wastaafu wasingeenda Kumzika ' Comrade ' wetu Marehemu Robert Mugabe ambaye aliipenda, aliiheshimu na pia alikua ni Rafiki mkubwa sana na Mtiifu kwa Tanzania hasa kwa kupitia Rafiki yake Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Najua Mzee Mwinyi ( Rais mstaafu wa Awamu ya Pili ) ameshindwa Kuandamana na Wenzake akina Mkapa na Kikwete pengine kutokana na sababu za Kiafya. Hata hivyo watakaokwenda watamuwakilisha vizuri na hata kuiwakilisha vyema kabisa nchi yetu nzuri ya Tanzania.
Nategemea mmoja wao atapewa nafasi yakutoa hotuba. Kama ikitokea hiyo chance aachiwe yule kwa sababu yuko vizuri zaidi kwenye kutoa speech na kuhadithia. Watu wa bara siyo wazuri sana kwenye kupiga maneno.
 
Hili Jukumu ni la Watu wa Itifaki na siyo Mimi na Wewe tafadhali.
 
Tony Blair haendi kumzika adui yake ? Keneth Kaunda sijui anakula nini? Yeye kawazika wote alofanya nao harakati za kuikomboa Africa.
 
Back
Top Bottom