Inasemekana hii ndiyo orodha ya viongozi waliothibitisha kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe

Nchi za magharibi hawakuwa wanampenda.

Mabeberu watakuwa wanakunywa mvinyo kwa kugongeana cheers kwa jinsi walivyomchukia.

Kuna nyakati walishavumisha sana kuwa mzee R. G. Mugabe kafa kumbe alikuwa bado.

Wengi hata pole hawajatoa!!
Mungu anawaona wazungu.

Hata raia wake walikua hawampendi si wazungu tu.
 
Mugabe State Funeral: Leaders start confirming attendance.

Leaders have started confirming their attendance to The State Funeral of The Former President and Icon of Africa Cde RG Mugabe according to George Charamba The Deputy Chief Secretary in the office of The President and Cabinet. Here is the list of confirmed guests so far:

Ghana - President Nana Akufo Addo, Former President John Mahama, Former President Jerry Rawlings & Former President John Kufuor.
Zambia - President Edgar Lungu, Former President Kenneth Kaunda, Former President Rupiah Banda & Former President Guy Scott.
South Africa - President Cyril Ramaphosa, Former President Jacob Zuma & Former President Thabo Mbeki.
Lesotho - King Letsie III
Malawi - President Peter Mutharika
Chad - President Idriss Deby
Botswana - President Mokgweetsi Masisi & Former President Festus Mogae.
China - President Xi Jinping Former President Hu Jintao
Mozambique - President Filipe Nyusi, Former President Armando Guebuza & Former President Joaquim Chissano.
India - Prime Minister Narenda Modi & Former President Pranab Patil
Equatorial Guinea - President Obiang Mbasogo
Togo - Faure Gnassingbe
Namibia - President Hage Geingob, Former President Sam Nujoma & Former President Hifikepunye Pohamba.
DRC - President Felix Tshisekedi & Former President Joseph Kabila.
Congo Brassaville - President Denis Nguesso
Angola - President Joao Lourenco & Former President Jose Dos Santos
Brazil - Former President Dilma Rousseff
Tanzania - President John Magafuli, Former President Jakaya Kikwete & Former President Benjamin Mkapa.
Cameroon - President Paul Biya
South Sudan - President Salva Kiir
Nigeria - President Mohammadu Buhari & Former President Olusegun Obasanjo
Belarus - Alexander Lukashenko
Kenya - President Uhuru Kenyatta & Former President Mwaii Kibaki.
Cote Divoire - President Alassane Ouattara
Uganda - President Yoweri Museveni
President
Malaysia - Former Prime Minister Najib Razak
Singapore - President Halimah Yacob
Cuba - Former President Raul Castro
Liberia - President George Weah & Former President Ellen Johnson Serlief

More to follow...
Ile hekalu kubwa watatosha wote hata wakienda na familia zao. Mugabe alishajiandalia mazishi.
 
Hao mabeberu wa ulaya nadhani wanachungulia dirishani jinga sana, ilihali mchina katia timu bado Russia ndiyo watajua roho mbaya kwa mfu haijengi.
Tupe mfano mmoja tu ambao Mrusi alishasaidia Afrika zaidi ya kuuza mabomu na silaha za kuua watu. At least mchina amejitahidi anachukua na kuwekeza kidogo.
 
Ikitokea likapigwa bomu hapo kati..... Africa yote itazizima hakuna wa kumpa pole mwenzake.... Nipe kwenye ndoto mwenzenu uku
 
Tupe mfano mmoja tu ambao Mrusi alishasaidia Afrika zaidi ya kuuza mabomu na silaha za kuua watu. At least mchina amejitahidi anachukua na kuwekeza kidogo.
Sorry, Russia ndio anazima majaribio mengi ya US na allies wake kuingilia Africa kwa nguvu huku Russia akisaidiwa na China, Iran, Turkey, Brazil na Cuba. Pia hutoa mafunzo ya kijeshi kwa nchi nyingi bure kuweza kupambana na the so called (Magaidi na Waasi) ambao kiuhalisia ni US.
 
Mugabe State Funeral: Leaders start confirming attendance.

Leaders have started confirming their attendance to The State Funeral of The Former President and Icon of Africa Cde RG Mugabe according to George Charamba The Deputy Chief Secretary in the office of The President and Cabinet. Here is the list of confirmed guests so far:

Ghana - President Nana Akufo Addo, Former President John Mahama, Former President Jerry Rawlings & Former President John Kufuor.
Zambia - President Edgar Lungu, Former President Kenneth Kaunda, Former President Rupiah Banda & Former President Guy Scott.
South Africa - President Cyril Ramaphosa, Former President Jacob Zuma & Former President Thabo Mbeki.
Lesotho - King Letsie III
Malawi - President Peter Mutharika
Chad - President Idriss Deby
Botswana - President Mokgweetsi Masisi & Former President Festus Mogae.
China - President Xi Jinping Former President Hu Jintao
Mozambique - President Filipe Nyusi, Former President Armando Guebuza & Former President Joaquim Chissano.
India - Prime Minister Narenda Modi & Former President Pranab Patil
Equatorial Guinea - President Obiang Mbasogo
Togo - Faure Gnassingbe
Namibia - President Hage Geingob, Former President Sam Nujoma & Former President Hifikepunye Pohamba.
DRC - President Felix Tshisekedi & Former President Joseph Kabila.
Congo Brassaville - President Denis Nguesso
Angola - President Joao Lourenco & Former President Jose Dos Santos
Brazil - Former President Dilma Rousseff
Tanzania - President John Magafuli, Former President Jakaya Kikwete & Former President Benjamin Mkapa.
Cameroon - President Paul Biya
South Sudan - President Salva Kiir
Nigeria - President Mohammadu Buhari & Former President Olusegun Obasanjo
Belarus - Alexander Lukashenko
Kenya - President Uhuru Kenyatta & Former President Mwaii Kibaki.
Cote Divoire - President Alassane Ouattara
Uganda - President Yoweri Museveni
President
Malaysia - Former Prime Minister Najib Razak
Singapore - President Halimah Yacob
Cuba - Former President Raul Castro
Liberia - President George Weah & Former President Ellen Johnson Serlief

More to follow...

Ningeshangaa na hata Kusikitika sana tu kama Rais wetu na Marais wote Wastaafu wasingeenda Kumzika ' Comrade ' wetu Marehemu Robert Mugabe ambaye aliipenda, aliiheshimu na pia alikua ni Rafiki mkubwa sana na Mtiifu kwa Tanzania hasa kwa kupitia Rafiki yake Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Najua Mzee Mwinyi ( Rais mstaafu wa Awamu ya Pili ) ameshindwa Kuandamana na Wenzake akina Mkapa na Kikwete pengine kutokana na sababu za Kiafya. Hata hivyo watakaokwenda watamuwakilisha vizuri na hata kuiwakilisha vyema kabisa nchi yetu nzuri ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom