isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,125
- 6,250
Well, ni white, yellow au coffee / chocolate?Tandahimba pale sokoni
Well, ni white, yellow au coffee / chocolate?Tandahimba pale sokoni
Hahahah!! Mkuu umepiga cha Arusha nini?Tandahimba pale sokoni
mheshimiwa wetu akaonge kiswahili kama kawaida ake
Sijui kama mrusi ataendaBelarus, China, Cuba, Malaysia sababu kubwa ni Ujamaa. Let's wait for Russia and Venezuela.
Asili yake ni Uingereza ila alizaliwa Livingston, Zambia. Angeweza kugombea kuwa Rais wa Zambia ila Chiluba aliweka sheria kulazimisha mgombea urais wa Zambia lazima wazazi wake wawe wamezaliwa Zambia ili kumzuia Kaunda asigombee tena.Sorry, hivi Former President (Zambia) Guy Scott anayo asili ya wapi?
Soma vizuri uziUganda sioni former 😂
Ulaya naona Belarus tu.
Kiburi alimfanyia nani,Hao wengine mbona wanaenda?m
kiburi
mheshimiwa wetu akaonge kiswahili kama kawaida ake
Wazungu ni watu wenye hila nyingi sana..Ulaya naona Belarus tu.
Namaanisha Huyo jamaa Wa huko USA...Kiburi alimfanyia nani,Hao wengine mbona wanaenda?
Na wewe jitahidi kunielewaSoma vizuri uzi
Yupo ila kazeeka sana.Hivi sam nujoma bado yupo