Black BackUp
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 685
- 623
Wanawake wengi wanaoishi Uswahili Wanajua kukata mauno wakiwa wana Faragha ukilinganisha na wale wanaotokea/ishi kule mijengoni kulikojengeka kwa Ramani(ushuani)
Kila kimoja kina wakati wakeMkuu kwa hiyo kati ya pesa na viuno utachagua nini??!Ila kwa mtazamo wangu inategemea mtu na mtu
hivi V-money anakata kweli ukilinganisha na Ray c?Mie nimekulia uswahilini kwa Matola ila kiuno gogo nikikata naenda mzima mzima kuanzia mabega hadi magoti.....
Kukata kiuno ni juhudi za mtu binafsi, hivi V-Money amekulia uswahilini au ushuani? Au ni sababu ya asili ya kazi yake ndo maana inabidi ayakate???!!!1
hivi V-money anakata kweli ukilinganisha na Ray c?
😂 😂 😂 😂 😂 😂Wa ushuani wanajua mapenzi ni kwenda Mlimani city kulishana ice cream na kuangalia cinema pumbavu zao
Kingine wanaojua kukata hua hawasemagi hadharani.... Kauli zao ni kama hizi hiziMie nimekulia uswahilini kwa Matola ila kiuno gogo nikikata naenda mzima mzima kuanzia mabega hadi magoti.....
Kukata kiuno ni juhudi za mtu binafsi, hivi V-Money amekulia uswahilini au ushuani? Au ni sababu ya asili ya kazi yake ndo maana inabidi ayakate???!!!1
Kingine wanaojua kukata hua hawasemagi hadharani.... Kauli zao ni kama hizi hizi
tena wazee ndo nuksi... vijana wala chips siku izi wanaomba poo kwa wakongweHeheheheheeheheehehehee hizi kauli ni kweli kwa vijana, ila kwa kikongwe bin kigagula kama mie ni gogo tena la mbuyu.... Ziitoooo aahahahahhaaa
tena wazee ndo nuksi... vijana wala chips siku izi wanaomba poo kwa wakongwe
Huki kwetu ni ntu na ntuMkuu kwa hiyo kati ya pesa na viuno utachagua nini??!Ila kwa mtazamo wangu inategemea mtu na mtu