Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,135 141,963 Oct 4, 2019 #21 Inawezekana ikawa kweli... Cc: mahondaw
B Black BackUp JF-Expert Member Aug 5, 2019 685 623 Oct 4, 2019 Thread starter #22 Kasie said: Weeh usinitafutie bifu na vijana.... Mie kizee bana sina movumenti zozote zile nimetulia tulii kama maji ya mtungini eehehehehee Click to expand... Ngoja aje anaekufahamu vizuri acheki hii text yako na sisi tujue kama wee sio mzee ni binti wa miaka 12
Kasie said: Weeh usinitafutie bifu na vijana.... Mie kizee bana sina movumenti zozote zile nimetulia tulii kama maji ya mtungini eehehehehee Click to expand... Ngoja aje anaekufahamu vizuri acheki hii text yako na sisi tujue kama wee sio mzee ni binti wa miaka 12
Kasie Platinum Member Dec 29, 2013 21,236 36,261 Oct 4, 2019 #23 Black BackUp said: Ngoja aje anaekufahamu vizuri acheki hii text yako na sisi tujue kama wee sio mzee ni binti wa miaka 12 Click to expand... Ngoja huyu mzee mwenzangu akuhakikishie... Asprin .... shamooo Babuu....
Black BackUp said: Ngoja aje anaekufahamu vizuri acheki hii text yako na sisi tujue kama wee sio mzee ni binti wa miaka 12 Click to expand... Ngoja huyu mzee mwenzangu akuhakikishie... Asprin .... shamooo Babuu....
B Black BackUp JF-Expert Member Aug 5, 2019 685 623 Oct 4, 2019 Thread starter #24 Kasie said: Ngoja huyu mzee mwenzangu akuhakikishie... Asprin .... shamooo Babuu.... Click to expand... Mzee mwenzako hapa jukwani JF but nje ya hapa ni ujana tu
Kasie said: Ngoja huyu mzee mwenzangu akuhakikishie... Asprin .... shamooo Babuu.... Click to expand... Mzee mwenzako hapa jukwani JF but nje ya hapa ni ujana tu