Inasadikika

Black BackUp

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
683
618
Wanawake wengi wanaoishi Uswahili Wanajua kukata mauno wakiwa wana Faragha ukilinganisha na wale wanaotokea/ishi kule mijengoni kulikojengeka kwa Ramani(ushuani)
 
Mkuu kwa hiyo kati ya pesa na viuno utachagua nini??!Ila kwa mtazamo wangu inategemea mtu na mtu
 
Mie nimekulia uswahilini kwa Matola ila kiuno gogo nikikata naenda mzima mzima kuanzia mabega hadi magoti.....

Kukata kiuno ni juhudi za mtu binafsi, hivi V-Money amekulia uswahilini au ushuani? Au ni sababu ya asili ya kazi yake ndo maana inabidi ayakate???!!!1
 
hivi V-money anakata kweli ukilinganisha na Ray c?
 
Hizi ni enzi bili tofauti, enzi za kiuno bila mfupa ilikuwa hakuna kama Ray C, ila kwa sasa kwakuwa Ray C hayuko sokoni anaonekana hafui dafu kwa V- Money..

Siko mlinganishaji mzuri, labda zikiwekwa video zao wote hapo tena slow motion hapo ndo naweza sema huyu kamzidi mwezie. Ila wote wana pumzi ya kulichakata jukwaa kwa mauno.
 
Mie nimekulia uswahilini kwa Matola ila kiuno gogo nikikata naenda mzima mzima kuanzia mabega hadi magoti.....

Kukata kiuno ni juhudi za mtu binafsi, hivi V-Money amekulia uswahilini au ushuani? Au ni sababu ya asili ya kazi yake ndo maana inabidi ayakate???!!!1
Kingine wanaojua kukata hua hawasemagi hadharani.... Kauli zao ni kama hizi hizi
 
Heheheheheeheheehehehee hizi kauli ni kweli kwa vijana, ila kwa kikongwe bin kigagula kama mie ni gogo tena la mbuyu.... Ziitoooo aahahahahhaaa
 
tena wazee ndo nuksi... vijana wala chips siku izi wanaomba poo kwa wakongwe
 
Weeh usinitafutie bifu na vijana....

Mie kizee bana sina movumenti zozote zile nimetulia tulii kama maji ya mtungini eehehehehee
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom