Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,614
Nikipanda nachelewa kuchuka! Hadi dem wangu anadai kuwa sim-feel ndo maana sishuki mapema. Na bado nikishuka ngoma inaendelea kudai tena. Nikiongea na marafiki zangu wanasema wao eti dak 5 ni nyingi; wakati mi huwa naenda hadi 20 au 30 min ndani ya game.
Sijawahi kutumia dawa za kuongeza nguvu; kinywaji changu ni Guines the Power + CocaCola.
Sababu ni ipi?
Sijawahi kutumia dawa za kuongeza nguvu; kinywaji changu ni Guines the Power + CocaCola.
Sababu ni ipi?