Dah you made my morning shine and bright!!Nimecheka najua siku zakuishi zimeongezeka!!Tatizo kwa ma-EX wa kiume usipowakazia watapasha kiporo kila siku. Bora kuwaavoid.
usichoke kumtafuta atakusamehe tu ila kurudiana si lazima
Ahsante, hapana kwakweli kwa nilichomfanyia acha tu nimkimbiehahaha ,pole shost jitahidi utakwepa hadi lini
Dah you made my morning shine and bright!!Nimecheka najua siku zakuishi zimeongezeka!!
hahahaahaaaa umeona eeeeh, mi huwa najitahidi kabisa kabisa kupunguza au kuondoa kabisa idadi maadaui. Kwanini uishi kwa shida? Nakukumbuka sana nanihiii wangu, naamini umenisamehe japo hutaki mawasiliano tena na mimi lakini najua haikua kosa langu. Huyu Mdada nampenda hadi kesho and she knows it very well lakini ilibidi tuachane, M my dear kama uko humu na unaona ninachokiandika nisamehe sana sana.
Hakuna kitu kizur kama kuachana kwa aman...... Kuna siku nilibanwa na homa nilikosa msaada kabisa kwa7bu nilikuwa natapika sana. Nikamtext ex wangu wa kitambo hicho akaja kuniuguza japo tuliachana kwa tofaut za wazaz.... Mpaka leo hii tunaishi kama ndugu tunashare shda na matatzo mbali mbali
Nilishakusamaehe toka siku ile.
nami ningesamehewa na ex wangu ingekuwa poa sana,maana kosa silujui had leo ila nilimwambia kosa sijui la kunitema had leo japo niko kwaresma ila bdo naon ninaden la msamaha,mim nilisamamehe japo alini2kana kama kuk mwenye mdondo,Happy anisamehe.Hngera yako mdada kusamehe.
Wanaume siku zote tu-wakarimu sana kwa ex wetu,mimi sioni sababu ya kukata mawasiliano kabisa na mtu ulieachana nae mana hujui huko mbeleni itakueje.
Mshukuru sana huyo x wako mana kama angekuwa ana kisirani nawe hata huo msaada usingeupata.
teh teh teh, hiyo statement ya nyie hamuelewekagi huwa naipenda sana maana kila upande unaclaim hivyo hivyoTatizo nyie viumbe hamueleweki. Ungekuwa unajua kumaintain urafiki mngeachana? Unakuta mtu kakuacha kwa mbwembwe kaenda huko kakutana na magumegume, mapenzi yamempiga vibao ndo anajirudisha oooh tuwe marafiki. Watu wanaenda mbele hawarudi nyuma!
occupied now, haliwezekani hilo, nabaki njia kuu
turudiane basi tukumbukie enzi zetu oooohhh pleaseNilishakusamaehe toka siku ile.