Magnificient
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,177
- 734
Daaah, kama umeniona vile. Ex-gf wangu alikuwa mcharuko, siku tunabreak ni full kunitukana na kutaka kupigana. Mtoto wa kiume nikamuepuka tukaseparate kwa amani kiasi. Siku hizi akiwa na tatizo tu full kunitaarifu na kuniomba nimsaidie, nami namsaidia. Sasa utata upo kwa huyu shosti mpya, ana wivu too much in such a way kwamba akisikia hiyo mambo ananiambie nimchague mmoja tu kati yao - X au yeye.