mrsleo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,587
- 3,886
Nikweli lakini kuna wanawake hili hawalijui na mimi huwa naona ni wapuuzi wa maisha mahusiano yakikataa achana nayo uhusiano uendelee!!eti mtu mapenzi yanashindikana na yeye uhusiano unakufa!!
jamani inategemea mtu kakuacha vipi kuna wengine wanaumiza kiasi kwamba jinsi ya kumsamehe haipo