Inaposhindikana , tuachane kwa amani, it real pays

Inaposhindikana , tuachane kwa amani, it real pays

Mmmh kwa jinsi nilivomuacha yule hataki hata kuona kivuli changu
na siku nikimuona anaweza hata kunifyatulia risasi ya kalio
nooo nikimuona nitakimbia tu kwakweli...

hahaha ,pole shost jitahidi utakwepa hadi lini
 
umeonaa eeeehh!! nshachukua vilago vyangu naambaa zangu!

sory dr, kwani umeona tofauti yeyote katika kukuhandle wewe, anampa kipaumbele infront of u, au ndo mkikutana hataki hata kusema who r u to him
 
hahahahaa nilishaoa na ndio ugomvi hasa ulipo, mimi ninachotaka toka kwake ni msamaha tu ili maisha yaendelee kwa amani. Nilimuumiza sana sana siwezi kueleza hapa maana najua yupo humu humu na yeye anajua ninachoandika maana natumia jina langu halisi
usichoke kumtafuta atakusamehe tu ila kurudiana si lazima
 
Kwa kuwa ni mwanamke hata sishangai hayo uliyofanya..mdomo mali yenu bana
 
Asee suprise kama kuna possibility rudiana na huyo binadamu nyie mnafahamiana fresh ni k2 poa sana mkirudiana kuliko kuanzisha koloni jipya...
 
hahahaahaaaa umeona eeeeh, mi huwa najitahidi kabisa kabisa kupunguza au kuondoa kabisa idadi maadaui. Kwanini uishi kwa shida? Nakukumbuka sana nanihiii wangu, naamini umenisamehe japo hutaki mawasiliano tena na mimi lakini najua haikua kosa langu. Huyu Mdada nampenda hadi kesho and she knows it very well lakini ilibidi tuachane, M my dear kama uko humu na unaona ninachokiandika nisamehe sana sana.

Nilishakusamaehe toka siku ile.
 
Hakuna kitu kizur kama kuachana kwa aman...... Kuna siku nilibanwa na homa nilikosa msaada kabisa kwa7bu nilikuwa natapika sana. Nikamtext ex wangu wa kitambo hicho akaja kuniuguza japo tuliachana kwa tofaut za wazaz.... Mpaka leo hii tunaishi kama ndugu tunashare shda na matatzo mbali mbali

Hizo shida hujaziweka hapa.shida ziko nyingi mkuu. Pole!
 
Nilishakusamaehe toka siku ile.

nami ningesamehewa na ex wangu ingekuwa poa sana,maana kosa silujui had leo ila nilimwambia kosa sijui la kunitema had leo japo niko kwaresma ila bdo naon ninaden la msamaha,mim nilisamamehe japo alini2kana kama kuk mwenye mdondo,Happy anisamehe.Hngera yako mdada kusamehe.
 
Ctak mazoea yy apite na mm nipite kama angethamin penz langu asiniacha kwa kebeh na matusi kuachana hakuwez kuwa kwa amani jamani
 
nami ningesamehewa na ex wangu ingekuwa poa sana,maana kosa silujui had leo ila nilimwambia kosa sijui la kunitema had leo japo niko kwaresma ila bdo naon ninaden la msamaha,mim nilisamamehe japo alini2kana kama kuk mwenye mdondo,Happy anisamehe.Hngera yako mdada kusamehe.

pole aisee,maana unavyotia huruma lol
 
Wanaume siku zote tu-wakarimu sana kwa ex wetu,mimi sioni sababu ya kukata mawasiliano kabisa na mtu ulieachana nae mana hujui huko mbeleni itakueje.

Mshukuru sana huyo x wako mana kama angekuwa ana kisirani nawe hata huo msaada usingeupata.

Kumbuka nae mwanzo alipewa!
 
Tatizo nyie viumbe hamueleweki. Ungekuwa unajua kumaintain urafiki mngeachana? Unakuta mtu kakuacha kwa mbwembwe kaenda huko kakutana na magumegume, mapenzi yamempiga vibao ndo anajirudisha oooh tuwe marafiki. Watu wanaenda mbele hawarudi nyuma!
teh teh teh, hiyo statement ya nyie hamuelewekagi huwa naipenda sana maana kila upande unaclaim hivyo hivyo
 
Asee suprise kama kuna possibility rudiana na huyo binadamu nyie mnafahamiana fresh ni k2 poa sana mkirudiana kuliko kuanzisha koloni jipya...

occupied now, haliwezekani hilo, nabaki njia kuu
 
I dont believe in entertaining ex-es. I'm cool with most of my ex-es but there are two that I've totally ignored coz of how we broke up. Them bitche.s can suck my schlong for all I care.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom