Inapatikana wapi hapa dar-- nokia lumia1020

Inapatikana wapi hapa dar-- nokia lumia1020

kanyagio

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2009
Posts
1,021
Reaction score
373
Wanajamii.

hivi wapi naweza pata nokia lumia 1020 Original yenye 41 megapixel. Je bei yake ni kiasi gani hapa dar?
thanks
 
Nenda Midcom, mikocheni kama unapanda daladala na unatokea morocco omba msaada kwa mwinyi
 
Back
Top Bottom