Inaniumiza sana

Msaada wa kukusaidia,kama ni mnene punguza mwili wako maana wengi mna tabia za kujiachia kitambi kikuubwa,fanya mazoezi ya kuwa na shepu nzuri,kunywa maji mengi ya kutosha ili uwe na ngozi isiochoka hasa asubuhi kabla ya kula chochote,kunywa maji ya uvuguvugu glasi 3,kuwa msafi mara zote,usafi wa mwili na nyumba yako,acha kuvaa mawigi yanazeesha sana,suka mitindo mingine,acha kuvaa madela,kucha zako weka vizuri,paka rangi zipendeze,weka hata za bandia zinasaidia kuongeza ladha,pia fanya maombi kila siku...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heeeh mlioanaje sasa???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Woman with brain and wisdom. I adore you, be blessed.
 
mama pita kwani ukoje mbona huyo jamaa ni kama anakutesa sana mpaka unakosa aman ya moyo?
Kama anazingua sana we kuwa bize na mambo yako usimfuatilie sana ili ujitengengenezee self Comfidence isiotegemea mtu wala kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo naona ni wewe kwenye tatizo. Hujiamini. Unachotakiwa kufana ni kujiamini kuwa wewe ndiye mtu sahihi kwake. Kisha jiweke vizuri kimuonekano na uwe umechangamka/ kwenye furaha na tabasamu wakati wote. Nakuhakikishia kuwa jamaa atapenda kwenda na wewe kila sehemu na kukutambulisha kwa kila mtu.
 
Kama haiendi usilazimishe wala kufosi maisha...

Pole kwa jaka moyo.
 
kuna mdada/mmama mmoja insta ni mhamasishaji wa kina mama,,anaitwa Ritha Tarimo,,inaonekana ni single mom na umri umeanza kuenda,,sasa yeye anavaa vigauni vifupi na make up nyingi lakini hapendezi
 
Kwa uelewa wangu naona wewe dada ni wa aina ile ya kumpa pesa mwanaume ili akatoe mahari kwenu ili akuoe, kama ndio hivyo shida inaanzia hapo.
 
Pole sana raha ya ndoa n amani na so kuishi kwa kuvumiliana.1 kwa 1 hiyo si wako.utapata tabu sana.

2019 hatua 1 yenye mafanikio zaidi
 
Kazi ya makeup ni kukufanya ujiamn kuliko kawaida, ujiamini kuliko uwezo wako au kiwango chako cha kujiamini, ujione keki wakati weww ni kitumbua.
 
Siku hizi watu wanatafuta ndoa kwa hali na mali pasipo kuangalia mengine ilimradi aolewe tu, na hasa ana mtoto tayari ilikuwa ngumu sana kuolewa kapata bahati kachangamkia sasa ndo anajua hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fwara veve, kisa cha kunichekesha mbele za watu ni nini? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…