Inaniuma saana

Inaniuma saana

Pole saana, kaza moyo ila hiyo ni cha mtoto, je ungekuwa mko wote mme/mke, halafu anakuaga anaenda msibani kwao , kesho unadamka kumfuata msibani halafu unakuta hakuna msiba na yeye hayupo pale!!!!!!!!!!!!!, si umgezimia kabisa?????????. Msamehe kwa kuwa hajui alitendalo ila mwombe mungu akujalie mke wa kweli

ASANTE KWA USHAURI ILA KUHUSU KUSAMEHE HAIPO KABISAA!! Nashukuru amejielewa akakauka coz sijui ni nini ningemwambia au kumfanyia kama ange dhubutu ninitafuta
 
kuna sehem ya kupreview post,ungefanya hivyo ingekua bora zaidi.........

I find it so hard to believe this story hasa the last part ya ufumanizi,kupigiwa sim

ila kama ni kweli pole yako,
post yako imekaa kikumtetea dwmu mwenzio hujamshauri chochote
 
Unajua ngono inapokuwa ndio kitu cha kwanza kuwaunganisha binti na kijana mwisho wake ndio huu, (ngono kwanza then idea ya mke na mume inafuata), kama ngono ingekuwa ni kitu cha pili cha kufikiria kabla ya kumtokea mdada nadhani tafakari kali kabla ya kufanya uamuzi wa kumtokea demu ingefanyika na ingetoa tathimini kama huyo unaruka nae au ni permanent maana kwa mwanaume mtu mzima anapomtokea demu huwa ana mawili kichwani either anapitia tu alafu baadae anaingia mitini (though atajifanya anataka kuoa) au anapitia huku tayari alishamfuatilia na kuona kwamba anafaa kuwa mke.

Nadhani mdau utakuwa unatumia approach ya kugegeda tu then in the course of relationship idea ya maarriage inakuja, maoni yangu usihuzunike sana kwani hiyo ni sehemu ya funzo na kukufanya strong kwani mke wako utakaekuja kumuoa yupo tu anakusubiri ukifika muda atatokea. Pia na wewe mahusiano gani hayo ya miaka mitatu upo na demu alafu unasema una mipango nae ya ndoa huku ukizingatia tendo la kupenda ni la mara moja (ukimpata mwingine usichukue muda mrefu sana wa miaka kadhaa unakula mzigo tu alafu hueleweki kwani kuna ambao wakiona kitu hukifanyia tathimini ya haraka na kutangaza nia baada ya miezi 8 tu tangu wafahamiane, unaweza kumwona kicheche (ukiondoa huyo wa fumanizi) kumbe na wewe ulichelewa kutangaza nia akaja mtu akatangaza nia kabla ya kula mzigo mwisho wa siku akashinda.

nimekuelewa but umejiuliza kama ningekuwa nisha oa na yametokea haya ingekuwaje?? hakuna anayetaka kuoa serious akakupeleka gest me siafiki hii kitu!! anataka kuoa akiwa anaishi wapi??
 
Hiki kisa kama cyo cha kubuni cjui ila kama ni cha kweli pole Ushauri wangu kwako jaribu Kufunga na kumrudia Mungu atakuongoza and uwe makini kwama walivyo xema wenzangu hapo juu cyo kila mwanamke waweza kuoa...

unadhani naweza ku buni kwa faida gani hapa?? we mchaga vipi baaana
 
ila omba Mungu, coz kuna roho za kukataliwa pia unajua....so unaweza ukawa unalaumu wadada kumbe ww ndo una tatizo....
Km ni mkristo najua unaelewa nachomaanisha

ni kweli ila rogo ya kukataliwa ningeiona tangu naanza kupenda awali but mbona wote wananikubalia dhen ndo wanakuja kusumbua tena baada ya muda mrefu saana?

Asante kwa mchango na mawazo yako
 
Unatafuta wazuri mno ambao sio size yako, we miaka 7 na kuchenji lovers si una Masters ya mapenzi, ila pole ka kweli

ha ah aha ha!! hakuna mzuri wa size ya mtu katika mapenzi!! katika mapenzi ni lazima uwe na mpenzi unayempenda na type unayoupenda pia!! mimi naamini mwanamke yoyote ninayempenda nina haki ya kuwa naye hata kama mzuri au m baya!!
 
Ni kama nina mkosi au ni kwamba wanawake wote ni waongo au ni hawa ninaokutana nao tu? haya ndo maswali nayojiuliza saana:

GF wangu wa kwanza:- nilikaa naye kwa muda wa miaka 3 nikajua ndo mke wangu na maisha tulishaanza yapanga,
sijui kama alikuwa anaigiza au alibadilika but alianza kuwa jeuri na kupotosha ahad, mwisho wa siku nilimpatia hela kama 2M akalipie kitu akaondoka nazo na kuniruka kuwa sijampa na kuniambia amenichoka na umasikini wangu namsingizia!!

baada ya maumivu na majonzi nikapata mwingine ambaye alifuta machozi kwa mapenzi ya kweli na kunihakikishia ni wangu milele!! sitaki kuamini kuwa baada ya mwaka na nusu, alianza kuingia kazini usiku gafla, mara kesho yake harudi et ameunganisha shift kufatilia officen kwao hakukuwa na shift ya usiku bt alikuwa analala gest au kwa wanaume!! pia alianza kuwa mlevi na dharau ki future sikumuhitaj tena ikabidi nimpotezee japo iliniuma saaana

ilinichukua muda nikawa sina girlfrnd pamanet nikawa nachukua wa hamu kwa hasira but ikatokea kupendana na girl
1 ambaye alikuwa anafanya kazi airpot na tulikuwa tuna kutana sana week end katika swiming pool,

nilikaa naye kama miaka 2, tulianza jenga maisha na mipango kunyooka, nilishamtambulisha kwa ndugu na jamaa pia!!
miezi mi 4 iliyopita alianza ku change kidogo, tulikuwa tupo huru kila mtu kupiga au kupokea simu ya mwenzi but mwenzangu akaanza kukataa, friends zangu wa karbu na watu waliokuwa wamemzunguka pia walianza kuniambie kuwa ana wanaume mara anakaa bar ovyo na kukutwa akitoka gest mara kwa mara!! nilikuwa namwamini sikuwasikia wala kuwaamini binadamu

siku ya Ijumaa ya Tarehe 30 mwezi huu sitaweza isahau kamwe, ilikuwa jioni nikiwa njian natoka officen alinipigia simu kuniambia kuwa anakuja kwangu nikamwabia is fine baada ya dk kama 35 nitakuwa nimefika!!

saa 1 mbele akanipigia kuwa atakuja mida ya saa 5 usiku coz anapitia kwa dada yake nikamwambi fine!!

saa 2 nilipigiwa simu na namba ngeni, ilikuwa sauti ya kiume iliyoniambia 'si unamwamini sana demu wako? njoo hapa (jina ba bar & gest) haraka

nikiwa kama sijaelewa hivi nikaamua kwenda, nikapga ile number jamaa akapokea akaniambia sitaki ujue mm nani naomba tu chat na fata maelekezo yangu, tuka chat mpaka akaniambie niende room ya jina la Morogoro theni nigonge au nishubiri hapo mpaka walio ndani watoke!!

nikampigia simu rafiki yangu akaja pale akashauri nigonge! kugonga sikuamini Mpenzi wangu alitota kunifungulia, nilihisi damu kusimama nikaondoka kwa hasira nikarudi home!!

mpaka muda huu na post hapa nashukuru mungu ni mzima nipo officen na bado napumua!! tangu ile juzi sijawasiliana naye naye pia yupo kimia!!

sitaki mnishauri nimsamehe but naomba mniambie kuna haja wa kumwamini tena msichana au nianje kuwachapa tu? au nikae kivyangu nipige hata nyeto maisha yaendeleee.....?

Una kitu si bure! anza maombi Mungu akufunulie kinachofanya wanawake wakukimbie.
 
Erik mkuu, usikonde kiongozi wangu. Wote tumepitia huko. Ni mambo ya kawaida sana. Cha msingi piga goti umshukuru Muumba wako, hujui amekuepushia nini. Pili, ignore the trick completely and live your life to the "fullest". Hakikisha you surround yourself with positive energy and people. Find a female friend to hang out with platonically akupunguzie mawazo. Usikimbilie rebound relationship kwani huwa hazidumu. Have no contact with your immediate ex. Usimtukane wala kumbembeleza. No phone calls, no sms, no email nothing. Wewe kula bata tu na kama ni member wa social media hakikisha unapost snaps ukiwa unakula bata umekenua meno kabisa. Mark my words, she will be going over your every move na ndio payback nzuri sana. Sio mambo ya matusi sijui kashfa blah blah blah. Hawa viumbe wengi wao hawajatulia lakini cha msingi ni wewe kuwa makini manake umezaliwa mwanaume. Usitumie papara wala hasira mkuu. Live like she ain't a thing to you. She cheated on you so she aint worth jack! Muombe Mawlana akupe binti mwingine aliye mstaarabu na tayari kwa ndoa.

Hawa dotcom wa social media and places (swimming pools, farmer's markets, clubs, mbudya, zanzibar and other events) wengi wao wamekaa ki-bata bata zaidi. Yaani inabidi uwachukulie ki-starehe zaidi kama Pepsi vending machine unaingiza noti, unachagua mountain dew, unabonyeza soda inatoka, unatoa kwenye kishimo halafu unasepa zako. Ukitaka kung'ang'ania unaweza kuambiwa "I just wanted a photo of you for my instagram page because you look like Tyrese" 🙂. Life goes on mwanangu.
 
today you have proved that my perception about you is the reality.........

hala hala huo Ukubwa ulioongeza usizidi sana ikawa mtafutano hapo baadae!!!!!!!!
Na ukubwa unanihakikishia mimi umiliki wangu kwako... Maana ukiniacha tu, hao wengine utaona fulu vimabia mwanzo mwisho.... By the way, what is your perception that has turned into reality..???
 
Aina ya wanawake unaochagua ndiyo tatizo.pole badili uelekeo.
 
nimekuelewa but umejiuliza kama ningekuwa nisha oa na yametokea haya ingekuwaje?? hakuna anayetaka kuoa serious akakupeleka gest me siafiki hii kitu!! anataka kuoa akiwa anaishi wapi??

Ni kweli hapo nilipo bold na ndio maana nikasema ukiondoa huyo wa fumanizi (ambae umemkuta guest), hao wengine ndio nikatoa assumption which means hata mie nilisham-delete kwa waolewaji
 
Duhh pole sana aisee jaribu kuwa mpole na kuongeza consetration kwenye kaz itakusaidia kufocus far zaid ya unapoona
 
Back
Top Bottom