ERIK
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 623
- 315
- Thread starter
- #21
dah... Pole sana ndugu yangu...majarib mengine mazito kweli.
Siwezi kukushauri umsamehe. Rudi ktk sala na maombi ya kuomba mwenza wa maisha. Mungu atakujibu.
thanks but nakumbuka hata hao waliopita nilikuwa nachagua na fufatilia pia maombi meng nilikuwa napeleka kwa Mwenyezi ila yaliyotoke. daaaaaa