Inaniuma hasa wanaoenda kwa TB Joshua

Inaniuma hasa wanaoenda kwa TB Joshua

tafadhali nenda uka tubu kwa yote uliyoyaandika!
 
Siku ya mwisho. ..kila mtu atatoa habari zake mwenyewe.....
 
TB Joshua hahusiki hapa jamaa mwenyewe ndo kamuomba Mungu wake mimi na wewe hatujui anamwabudu Mungu gani anaetoa mwongozo hadi kwenye michepuko

Aliyeunganisha Mungu mwanadamu hawezi kutenganisha....Huyo.TB Joshua ndo anatenganisha ndoa...?? Yeye ni nani....

Nabii Hosea anatuambia watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa..
 
Dogo umeishia darasa la ngapi cz hata kuchambua habari inakushinda nakushauri rudi shule... story yako na T.B Joshua havina uhusiano
 
Watu wamemfanya huyu TB Joshua kama ndo Mungu...Mtu anachepuka halafu anasema TB Joshua
 
Watu wana umaarufu kuzidi Makanisa yao..Chezea Nigeria 😉

Mwezenu anatengeneza pesa nyie mnamuona Nabii..Hahaa 😀

"sidanganyiki"
 
Habari wapendwa,kuna kitu kinanikera mpaka nimeamua kuongea na inabidi tumuogope Mungu,kuna jamaa mmoja alioa akafukuza mke wake,badae akamrudia mke wake Mungu akawajalia mtoto mmoja,wakati huyo mke ana mimba jamaa akachepuka bahati mbaya mchepuko ukapata ujauzito,jamaa akachanganyikiwa kwa sababu aliuambia mchepuko hana mke yani walishaachana,sasa jamaa akakimbilia nigeria kwa TB Joshua ili aambiwe nani mke kutoka kwa Mungu wakati mke wa kwanza alifunga nae ndoa,baada ya jamaa kurudi akatulia ndani ya miezi 6 huku akimuomba Mungu amuonyeshe,wiki 2 zilizopita kasema Mungu kamuonyesha mchepuko ndio mke wake,ila nigeria hakuambiwa kitu,sasa kwa mke halali hataki kupasikia wala habari za mtoto.[/QUOTE
Sasa TB Joshua anahusika vipi. Huyo hmjui Mungu wala nn anatumia dhehebu Kama sehemu yakufanyia madudu yake.
 
Mnavutia wapi hizi bangi jaman zinawavuruga ujue na kuona kila mtu ni sawa tu....
 
Nisamehe kwa lugha niliyotumia mpendwa lakini TB Joshua ndio nani?

Temitope Balogun Joshua (born June 12, 1963 in Arigidi, Nigeria), commonly referred to as T. B. Joshua, is a Christian minister,televangelist and faith healer. He is leader and founder of the ministry organisation The Synagogue, Church of All Nations (SCOAN), which runs a Christian television station called Emmanuel TV.

He is also a notable humanitarian, providing aid to minorities and the underprivileged on national and international scales via Another Ministry.

en.m.wikipedia.org/wiki/T._B._Joshua
 
Kuna wakati Nadhani Mungu anatupa baadhi ya maombi kwenye dustbin. Mfano wake kama haya maombi ya TB Joshua.
 
Back
Top Bottom