MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
....
Sasa nimshaurije?
walianzaje mpka huyo shost wako akamuulizia huyo mdada? yani alimuulizia tu ili mradi au kuna alilotaka kujua? wengine hata hawajuagi kuiba, wakianza kuingizza mkono tu wanakamatwa, ndio huyo mkaka sasa, anaulizwa be anasema che.
Aksante Ama nitafanya kama ulivyonishauri. Hivi inawezekana jamaa (shem) anamega ?? Maana mbona kareact kihivyo??Mwache alie hadi machozi yake yaishe, usimbembeleze.
Akishanyamaza mshauri ajiweke tayari kufanya maamuzi mazito na magumu.
Katika kufanya maamuzi hayo, hatua ya kwanza, akapime ngoma. Majibu yatampa mwanga wa nini afanye next.
One step at a time.
Aksante Ama nitafanya kama ulivyonishauri. Hivi inawezekana jamaa (shem) anamega ?? Maana mbona kareact kihivyo??
Hii kwa kibongo bongo tunaita defence mekanizimu jamaa alikuwa anajaribu kujilinda kwa nafsi yake alijua kuwa huyo shost wako anataka kumtega si unajua nyie kwa maswali yenu ya kimtego mtego je angesema anamjua na si kumfahamu hapo ingekuwa kasheshe zaidi.
Dada yeye mwenyewe anasema jana jioni ofcn kwake secretary wao alikuwa anasimulia habari ya dada mmoja ambaye anafanya kazi ofc flani (ambako mumewe naye anafanya) vituko vya huyo dada ni vikubwa si ndio akaona amwulize mumewe kama anamfahamu huyo mdada akiwa anataka kujua kama kweli ofc hiyo kuna mtu wa jina hilo. Hayo majibu alopata kabadki kaduwaa.
Eh MUNGU tunusuru waja wako !! Kumbe ndo maana shem anamzuiaga shost kwenda kuangazwa!! Au anajihisi kaukwaa? Jamani wanaume wengine wauaji!!!Unauliza makofi polithi na wewe? Au unauliza vilungu kwa mgambo wa city hapo pigia mstari.
DADA ZANGU,
maswala ya wanaume muyachukulie ''kawaida''!kinyume na hilo mtakufa mapema kwa stroke
Aksante Fidel ah yaani hawa watu wengine kwa kujishuku!! Sasa kaambiwa kuwa yeye alikuwa anauliza kwa nia njema tu kwa kuwa alitaka kujua kama yupo ndo jamaa kawa mdogo kama piriton hajasema kitu zaidi ya kukauka lakini ndo keshachemka tena. Ngoja dada akacheck afya[/QUOTE]
ni vizuri lakini mhh, inauma sana ukijiona ulikuwa mtulivu/mwamnifu then lenzako likuletee magonjwa, yaani hapo ni anajifia pole pole kwa mawazo...yaani wacha tu.
Dada mie nimebakia kimya ila nimemshauri atulie kwanza wala asipanick na mume akisms kitu akae kimya kama si cha lazima kujibiwa lengo ni kumpa muda wa kutafakari na kuyapanga maswali ya kumbana baada ya kazi nyumbani. Hata mie imenishangaza sana nakwambia amenionyesha hizo sms alizoendelea kutumiwa na Mr wake nimechoka mwenyewe.eeh ngoja kwanza nimpe pole, mie ndio ningembania hapo hapo mpaka kieleweke...sasa hapo janaume ndio litanuna kukwepa kuhojiwa...haaa cjui kwanini ckuwaga sista mie.
Tatizo mashost wa M1 wanapenda uzungu uzungu ishu ndogo kama hii tayari uwe unawaambia wanakuwa fair tu mambo mengine ni ya kumezea mate tu siku akirudi shirt linanukia dawa za nywele za kike itakuwaje?
Eti uzungu uzungu hata ningekuwa mie Fidel ningemaka kwa sababu huyo dada sifa zake si haba sasa nikiona Mr kareact hivyo nikaekimya na kufungulia magonjwa mlango? Nyie wanaume sijui mkoje yaani mnatake kila kitu simple tu!!Tatizo mashost wa M1 wanapenda uzungu uzungu ishu ndogo kama hii tayari uwe unawaambia wanakuwa fair tu mambo mengine ni ya kumezea mate tu siku akirudi shirt linanukia dawa za nywele za kike itakuwaje?
Eh MUNGU tunusuru waja wako !! Kumbe ndo maana shem anamzuiaga shost kwenda kuangazwa!! Au anajihisi kaukwaa? Jamani wanaume wengine wauaji!!!