Inamaanisha nini?

Sometimes wanawake mnakera, hata mie nimeshawahi ulizwa mtu ambaye simfahamu kabisa kisa huyo dada ni famous kwa kugawa uroda mtaani kwetu na hupenda kuchangamkia waume za watu. Nikaulizwa unamfahamu Fulani? nikauliza ndo nani huyo? nikaambiwa mh unajifanya humjui wakati ndo superstar hapa mtaani, aaaaaaaaaaaaagrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr kweli nilipandwa na hasira ya kulazimishwa kumjua mtu ambaye hata siku moja sikuwahi kumsikia wala kumwona, lkn nikaona omvi wa nini nikamwambia twende basi ukanioneshe, nikaambulia kuambiwa kumbe namtamani. ssa tokea hapo unajua hulka ya binadamu nikawa nataka nimwone huyo anayesujudiwa kuwa ni super star, JAMANI kuja kumwona huyo dada mwenyewe hata hamu sina, kwanza nahisi kila kitu cha kununua pale alipo, WEUPE wa dukani, Makalio ya kichina, yaani nahisi hata kutapika.halafu kila mtu ana type zake anazo penda jamani wake zetu, si kila mwanamke eti kisa kajichubua na ana makalio ya kichina basi eti ndo MZURI. Nilichokifanya baada ya hapo sasa, nikagundua wife confidence imemshuka nadhani huko saluni anakokwenda walimzungumzia huyo dada kuwa ni mwizi wa waume za watu akapata wasi wasi. Jmosi moja nikampeleka shopping kidogo, halafu jioni nikampeleka pale Girrafe Hotel just kupata kaupepo na wine ya kuzugia, akafurahi vibaya mno! lastly nikamwambia unajua wewe ndo MAMA YANGU UNAYENILEA? Na MTOTO HAKUI KWA MAMA so please take care of me. (Huwa anapenda sana kusema yeye ndo mama yangu kwa sasa) Basi everything ikarudi ikawa normal

imekaa vizuri hiyo......
 
Chimurungu umesema kweli na wewe ulirespond vizuri kwa kusema humfahamu sasa huyu mwenzio kaulizwa tu unamfahamu flani kaanza na unikome mimi si malaya wa kutembea na kila changu ... jamani?? angejibu kwanza simfahamu/au namfahamu ana nini- maana wanafanya naye kazi ofc moja ndo maana dada kauliza!
 
ishu ni kwamba mdada story alizopewa huko ndio zilimuwasha akitaka kumjua/kumfahamu zaidi huyo mtuhumiwa, alikuwa hana hili wala lile kuuliza mackini, majibu aliyopewa ndio hayo tena.

Hehehehe sasa hapo ilitakiwa achune tu kwa nini sasa alikuwa anaumia roho wkt jamaa lilikuwa likali.....yeye angejinyamazia tu na Mungu wake.

Eti uzungu uzungu hata ningekuwa mie Fidel ningemaka kwa sababu huyo dada sifa zake si haba sasa nikiona Mr kareact hivyo nikaekimya na kufungulia magonjwa mlango? Nyie wanaume sijui mkoje yaani mnatake kila kitu simple tu!!

Huyu jamaa anareact kihalali kabisa ataulizwaje story za mdada kwani yeye zinamhusu? Unajua mambo mengine nyie wenyewe mnayakuza sasa angalia jamaa limekuwa mbogo tayari linajua huyu mdada ameshtukia dili sasa misukosuko itaanza ndani ya nyumba kwa nn asingekuwa mpole sasa.
 
Uzuri kama anamega kawaida kama anajiexpress hapo sasa msiba mwingine huo.
Wanaume bana we tuangalie tu kama tulivyo tunajua nn kilichopo moyoni mwetu.

hivi huwa hamtuhurumii jamani........unajua mie nachoka kabisa.
 
hakuna haja ya mke kuhofu ukimwi, wala si lazima kuwa ni mbnu ya mwanume asiye mwaminifu kujihami na mkewe........

jamani inategemea mawasiliano yakoje kati ya hao wanandoa. kama ara zote mkewe huongelea watu, badala ya issues ama huuliza vijambo kama hivyo na baadaye kuleta zogo ndani, basi nadhani mwanaume alishakuwa conditioned na hivyo kila akiulizwa maswali kama yale anaanticipate kuwa zogo linafuatia. sasa ukizingatia ni asubuhi anataka kwenda kazini bila mawazo kichwani ndiyo akajihami na mzozo usio wa azima........... i can understand the man in that way..........

wanandoa wachunge sana kuwa-condition wenzao negatively kama hivyo...
 
Uzuri kama anamega kawaida kama anajiexpress hapo sasa msiba mwingine huo.
Wanaume bana we tuangalie tu kama tulivyo tunajua nn kilichopo moyoni mwetu.

Umenikumbusha kwenye kitchen party moja nilihudhuriaga, mama mmoja alipangwa kutoa mada ya uvumilivu- aliponyanyuka na kuletwa mbele kwa mbwembwe zoote akashika Mic na kusema nameno mawili tu kwa bi Arusi mtarajiwa..........Wanaume ndivyo walivyo... kamaliza kakabidhi Mic huyoooo akasepa.

Sasa ndio naelewa
 
. Ngoja dada akacheck afya

Hii sasa imekaa vibaya kwani ameanza kuumwa?
Hapo sasa jamaa ataanza kunyimwa haki yake ya kikatiba haswaaa lol hapo hapo migogoro itaanza we mwambie avumilie tu wanaume ndivyo tulivyo awe mpole sisi ni waAfrica ndo tabia zetu mwambie wazi ampende mmewe hata kama anakasirika mwambie azidishe upendo mara dufu.
 
Hapo kuna vitu viwili. Inawezekana ANAMMEGA au NO. La pili ni kuwa, Labda huyo Shost wako, ana maswali maswali ya kumtega mwenzie, kumjibu hivyo, anamaanisha, asiulize tena maswali kama hayo....Na wala hana mpango wowowte na huyo dada....
 
Huyu jamaa anareact kihalali kabisa ataulizwaje story za mdada kwani yeye zinamhusu? Unajua mambo mengine nyie wenyewe mnayakuza sasa angalia jamaa limekuwa mbogo tayari linajua huyu mdada ameshtukia dili sasa misukosuko itaanza ndani ya nyumba kwa nn asingekuwa mpole sasa.

Hivi wewe umwulize mkeo kama anamfahamu mtu flani umesikia anafanya kazi oficini kwa mkeo naye badala yya kukujibu ndio/hapana akushushie mijitusi utamwelewa??

Hebu acheni mambo ya mkuki kwa nguruwe bana Fidel.
 
hivi huwa hamtuhurumii jamani........unajua mie nachoka kabisa.

Hahahahahahaha Nyamayao ukijifanya mjinga utaweza kuishi vizuri tu kwa amani na upendo baadae hilo limwanaume litajirudi na kutafakari lakini ukiamua kushindana nae hapo ndo inakuwa balaa amani nyumbani inapotea wewe jifanye mjinga tu ipo siku. Inafika kipindi mwanaume anaingia na uhuruma na unahurumiwa na anajirekebisha.
 
DADA ZANGU,
maswala ya wanaume muyachukulie ''kawaida''!kinyume na hilo mtakufa mapema kwa stroke

Yaani Geof... ingekuwa rahisi kuchukulia kama unavyoshauri.... mbona ingekuwa poa sana!
Sema hivi: ukishaamua kujiingiza kwenye pingu za maisha..ujue kifungo hicho kitakuliza, kitakusononesha, kitakuumiza na mara nyingine kukuchekesha na kukufurahisha.Yote yanapatikana humo kifungoni.

Tukirudi kwenye ushauri anaouomba MJ1,
1.Mimi nadhani shosti wako huyo yuko kwenye safari ya kumgundua vizuri huyo mumewe ( discovery). Huwezi kumwelewa vema mwenzi wako hata ukikaa naye miaka mia! Kila siku utajifunza jipya.

2.Hapo keshajifunza kuwa mumewe huyo sivyo alivyokuwa anamfikiria.Ana upande mweusi ambao hakuujua.

3.Cha kufanya, kama anajihisi kuwa mumewe huyo keshakanyaga miwaya ya mdada yule.. ajipeleke kupima tu ili ajue hali yake aanze kuishi kwa matumaini. Akijikuta hana amshukuru Mungu na ajue namna ya kuishi kwa akili na huyo mumewe. Ikiwezekana amshawishi wakapime wote japo hii ni ngumu kidogo.
 
Hebu acheni mambo ya mkuki kwa nguruwe bana Fidel.

Hii inaweza ikakukuta hata wewe ukaulizwa unamfahamu Fidel mpo nae ofc moja alafu ukizingatia haka kajamaa ka Fidel huwa kanakumendea kanakulia matiming kila kukicha na wewe unajua hilo sasa Mr. ako anakuuliza swali kama hilo unamfahamu kajamaa kamoja kanaitwa ka Fidel lazima uruke futi 100 na pumnzi juu mara presha inaongezeka.
 
Hahahahahahaha Nyamayao ukijifanya mjinga utaweza kuishi vizuri tu kwa amani na upendo baadae hilo limwanaume litajirudi na kutafakari lakini ukiamua kushindana nae hapo ndo inakuwa balaa amani nyumbani inapotea wewe jifanye mjinga tu ipo siku. Inafika kipindi mwanaume anaingia na uhuruma na unahurumiwa na anajirekebisha.

lijirudi wakati limeshakupa ukimwi?????

aaaah men are just men bana!!!
 
Hahahahahahaha Nyamayao ukijifanya mjinga utaweza kuishi vizuri tu kwa amani na upendo baadae hilo limwanaume litajirudi na kutafakari lakini ukiamua kushindana nae hapo ndo inakuwa balaa amani nyumbani inapotea wewe jifanye mjinga tu ipo siku. Inafika kipindi mwanaume anaingia na uhuruma na unahurumiwa na anajirekebisha.

Ingekuwa enzi za UKIMWI free Fidel kaka yangu wala usingesikia hivi vilio vya mara kwa mara. Unadhani hatujui kuwa kila kitu kina mwanzo na mwisho? Tunajua hata nyumba ndogo zina mwisho tatizo ni huu ugonjwa maana huwezijua. Kuna mama mmoja mumewe alimkimbia for 12 solid years, akamwacha na watoto wake mama akalia weee mwisho akazoea na kukubali akaanza kupiga mzigo maisha yakaendelea.

After 12 year mume akarudi analia anaomba asamehewe arudi nyumbani. Mama akakataa ndugu wakaingilia kati na kuanza kumsakama mmama wa watu hadi akakubali wakarudiana-sijui alipoteaje wakado ya kudo kumbe jamaa ndo alishaukwaa kamletea mama.
 
Hii inaweza ikakukuta hata wewe ukaulizwa unamfahamu Fidel mpo nae ofc moja alafu ukizingatia haka kajamaa ka Fidel huwa kanakumendea kanakulia matiming kila kukicha na wewe unajua hilo sasa Mr. ako anakuuliza swali kama hilo unamfahamu kajamaa kamoja kanaitwa ka Fidel lazima uruke futi 100 na pumnzi juu mara presha inaongezeka.
Unless kama nimeshakugaia!!
 
Yaani Geof... ingekuwa rahisi kuchukulia kama unavyoshauri.... mbona ingekuwa poa sana!
Sema hivi: ukishaamua kujiingiza kwenye pingu za maisha..ujue kifungo hicho kitakuliza, kitakusononesha, kitakuumiza na mara nyingine kukuchekesha na kukufurahisha.Yote yanapatikana humo kifungoni.

Tukirudi kwenye ushauri anaouomba MJ1,
1.Mimi nadhani shosti wako huyo yuko kwenye safari ya kumgundua vizuri huyo mumewe ( discovery). Huwezi kumwelewa vema mwenzi wako hata ukikaa naye miaka mia! Kila siku utajifunza jipya.

2.Hapo keshajifunza kuwa mumewe huyo sivyo alivyokuwa anamfikiria.Ana upande mweusi ambao hakuujua.

3.Cha kufanya, kama anajihisi kuwa mumewe huyo keshakanyaga miwaya ya mdada yule.. ajipeleke kupima tu ili ajue hali yake aanze kuishi kwa matumaini. Akijikuta hana amshukuru Mungu na ajue namna ya kuishi kwa akili na huyo mumewe. Ikiwezekana amshawishi wakapime wote japo hii ni ngumu kidogo.

Aksante WoS ushauri wako ni murua kabisa ila hapo kwenye RED dada naomba unisaidie hata mimi mwenyewe kuishi kwa kutumia akili ndo kunakuweje tena? Akidai haki ya ndoa kabla hajapima amnyime?, ampe kwa kuvaa condom ya kike? au afanyeje maana hata sielewi

Hapo kwa Blue its out of question my sisy kwani alishawahi kumdokezea kuhusu kupima kidogo talaka imfuate nyuma!!
 
MJ1,
niPM tuzungumze maana kuishi kwa akili ni individual choice na sacrifice - kujadili hapa inaweza kuleta tafrani.
 
Ingekuwa enzi za UKIMWI free Fidel kaka yangu wala usingesikia hivi vilio vya mara kwa mara. Unadhani hatujui kuwa kila kitu kina mwanzo na mwisho? Tunajua hata nyumba ndogo zina mwisho tatizo ni huu ugonjwa maana huwezijua. Kuna mama mmoja mumewe alimkimbia for 12 solid years, akamwacha na watoto wake mama akalia weee mwisho akazoea na kukubali akaanza kupiga mzigo maisha yakaendelea.

After 12 year mume akarudi analia anaomba asamehewe arudi nyumbani. Mama akakataa ndugu wakaingilia kati na kuanza kumsakama mmama wa watu hadi akakubali wakarudiana-sijui alipoteaje wakado ya kudo kumbe jamaa ndo alishaukwaa kamletea mama.

Ukisikia watu wanaangamia kwa kuendekeza usamaria wema ndio kama ivi.
Hebu uliza akina kaka/baba walio hapa, endapo mwanamke umekimbia na mwanaume mwingine hata for 1 year, ukarudi kama huyo mwanaume angekupokea let alone kulala kitanda kimoja tena...hatujaongelea ku do!
Na hata kama huyo mwanaume angekupokea halafu umuambukize nadhani famili tribunal ingekupitishia hukumu ambayo utakufa kabla hata ya kutumikia adhabu!
Its hard to be a woman jamani!
 
Aksante WoS ushauri wako ni murua kabisa ila hapo kwenye RED dada naomba unisaidie hata mimi mwenyewe kuishi kwa kutumia akili ndo kunakuweje tena? Akidai haki ya ndoa kabla hajapima amnyime?, ampe kwa kuvaa condom ya kike? au afanyeje maana hata sielewi

Hapo kwa Blue its out of question my sisy kwani alishawahi kumdokezea kuhusu kupima kidogo talaka imfuate nyuma!!

Kukubali kuwa mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja. Yaani mumeo si mali yako peke yako. Anakuwa wako anapokuwa nyumbani. Hiyo ndio jinsi ya kuishi kwa akili! Ukikubali hilo, mambo yanakuwa bambam!

Hapo kwenye red! He! Hilo ni tatizo la Kitaifa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom