Inakuwaje wanaume tunahonga tu, lakin si wanawake??

Inakuwaje wanaume tunahonga tu, lakin si wanawake??

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,678
Reaction score
5,166
habari zenu wana JF!

kiukweli sijui kama ni uhalisia au tumejizoesha tu,hii tabia ya kuonga huwa najiuliza kila siku kwanini sisi wanaume tuonge?kwanini wananwake wasituonge?.

naomba niwasilishe kwa njia ya majadiliano tupate jibu kwani hata raha ya kugegeda tunapata wote iweje mimi nichukue nafasi ya baba ake,nguo,mafuta,pedi N.k
 
Ulitaka kusema KUHONGA? Anayetongoza ndiye anayetakiwa kuhonga hata demu akikutongoza yeye ndio anapaswa kukuhonga
 
Ulitaka kusema KUHONGA? Anayetongoza ndiye anayetakiwa kuhonga hata demu akikutongoza yeye ndio anapaswa kukuhonga
kwann sasatuhonge??pia hata demu akikutongoza unamuhonga mbona!!
 
ha ha vaa sketi, na wewe uwe unaingizwa.... ulishawahi kuona wapi shimo linainga kwa nyoka? siku ikiwezeka shimo kuingia kwa nyoka tutahonga
 
Mwanaume atakula kwa Jasho mwanamke atazaa kwa uchungu
Siku ambayo mwanaume atazaa hivyo siku ndio ataanza kuhongwa na mwanamke
Over
 
Kumpa mwanamke vitu au kitu kuna raha yake lakini... Ina leta sauti na kusikilizwa zaidi...
 
ah tatizo wanaboa yaan sasahv wanaomba pesa kama wamekukopa vile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom