Inakuwaje wanafunzi wanafeli hesabu wanafaulu physics na chemistry

Mimi niliscore D Phy C chem na hesabu nikapiga Mswaki(F) .Kwengine ilikuwa rahisi coz calculations zake simple na kuna Maswali ya kudefine na briefly explanation vilevile practicals zina beba mno .
hesabu mswaki huwa unatupitia wengi sana
 
Inakuwaje mwanafunzi anafeli hesabu halafu anakuja kufaulu chemistry na physics ,kumbe Tanzania kuna wakemia wengi aisee sikulijua hili wanafunzi wamepiga kemia jaman halafu hesabu kama kawaida chaliiiView attachment 2083593
Mazingira ya usomaji siyo rafiki Kwa upande wangu huwa nasema kama ningesomea mjini ningepiga one kubwa imagine sisi ndiyo form1 wakwanza alafu unaenda shule Ina walimu wa3 hapo hakuna kusoma hesabu Wala physics tumeanza shule mwezi wa2 what is physics tukaanza kuisoma mwezi wa4 na topic hatumalizi mwalimu ni washule nyingine Kwa mwezi anakuja mara 2 masomo mengine nayo kuunga unga tu,
Nikakomaa hatimaye form4 nikapata Physics D, Maths F, Chem D, Bios C, English C, Kiswahili C, Geog D, Civs D, Hist C,
 
Mkuu itakua ulifeli hesebu shuleni (samahani kama nimemukwaza)

Hiyo data imwekwa katika %. Maana yake, ili kupata asilimia ya ufaulu wa somo husika unachukua idadi ya waliofaulu somo hilo unagawa kwa idadi wa waliofanya mtihani husika.
Physics na chemistry inaonekana na % kubwa ya ufaulu kwasababu wanaofanya mitihani ya masomo haya ni wale wa mchepuo wa sayansi pekee (denominator inakua ni ndogo) wakati mtihani wa hesabu unafanywa na michepuo yote (sayansi, biashara, sanaa, kilimo nk) hivyo denominator inakua kubwa
Nakazia
 
Back
Top Bottom