Inakuwaje wanafunzi wanafeli hesabu wanafaulu physics na chemistry

lwambof07

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
4,593
5,202
Inakuwaje mwanafunzi anafeli hesabu halafu anakuja kufaulu chemistry na physics ,kumbe Tanzania kuna wakemia wengi aisee sikulijua hili wanafunzi wamepiga kemia jaman halafu hesabu kama kawaida chaliii
20220116_133635.jpg
 
Inakuwaje mwanafunzi anafeli hesabu halafu anakuja kufaulu chemistry na physics ,kumbe Tanzania kuna wakemia wengi aisee sikulijua hili wanafunzi wamepiga kemia jaman halafu hesabu kama kawaida chaliiiView attachment 2083593
Hesabu walimu wazuri ni wanafunzi kuliko walimu wenyewe maana wengi wanafundisha kisifa sio mwfunz kuelewa
 
Mkuu itakua ulifeli hesebu shuleni (samahani kama nimemukwaza)

Hiyo data imwekwa katika %. Maana yake, ili kupata asilimia ya ufaulu wa somo husika unachukua idadi ya waliofaulu somo hilo unagawa kwa idadi wa waliofanya mtihani husika.
Physics na chemistry inaonekana na % kubwa ya ufaulu kwasababu wanaofanya mitihani ya masomo haya ni wale wa mchepuo wa sayansi pekee (denominator inakua ni ndogo) wakati mtihani wa hesabu unafanywa na michepuo yote (sayansi, biashara, sanaa, kilimo nk) hivyo denominator inakua kubwa
 
Inakuwaje mwanafunzi anafeli hesabu halafu anakuja kufaulu chemistry na physics ,kumbe Tanzania kuna wakemia wengi aisee sikulijua hili wanafunzi wamepiga kemia jaman halafu hesabu kama kawaida chaliiiView attachment 2083593

Kuna vitu vingi vya kuzingatia kabla ya hukumu:

1: Upatikanaji wa walimu na jinsi walivyotilia mkazo kwenye masomo yao/timiza wajibu.

2: Misingi ya aina ya mtihani ya wanafunzi waliotungiwa ie. Maswali ya kihesabu yalikuwa yanachukua asilimia gani ya mtihani. Walitakiwa kufanya hesabu au kuchagua jibu sahihi(hapa kuna wanaokwambia jibu ni A, usiniulize njia).

3: Je hao waliofaulu, wamefaulu kwa kiasi gani kwa marks/ madaraja?? Vs
Je kuna utofauti gani kwa wale wa hesabu?

4: Je waliofanya mtihani ni walewale kwa kila mtihani? Idadi
 
Sababu kubwa ya kufeli ni waalimu wengi wa hesabu kudhani ukali ndio kuwaelewesha wanafunzi. Matokeo yakr wanafunzi huishia kuwaogopa na hivo kuondoa umakini wakati wa kufundishwa. Hata shule zenye waalimu wa hesabu bado ufaulu hauridhishi hivyo sababu ya uchache wa waalimu haiwezi kuwa na uzito kusudiwa.
 
Mkuu itakua ulifeli hesebu shuleni (samahani kama nimemukwaza)

Hiyo data imwekwa katika %. Maana yake, ili kupata asilimia ya ufaulu wa somo husika unachukua idadi ya waliofaulu somo hilo unagawa kwa idadi wa waliofanya mtihani husika.
Physics na chemistry inaonekana na % kubwa ya ufaulu kwasababu wanaofanya mitihani ya masomo haya ni wale wa mchepuo wa sayansi pekee (denominator inakua ni ndogo) wakati mtihani wa hesabu unafanywa na michepuo yote (sayansi, biashara, sanaa, kilimo nk) hivyo denominator inakua kubwa
Sahivi mbna wanafunzi wote hawaachi masomo. Wanasoma yote.
 
Mkuu itakua ulifeli hesebu shuleni (samahani kama nimemukwaza)

Hiyo data imwekwa katika %. Maana yake, ili kupata asilimia ya ufaulu wa somo husika unachukua idadi ya waliofaulu somo hilo unagawa kwa idadi wa waliofanya mtihani husika.
Physics na chemistry inaonekana na % kubwa ya ufaulu kwasababu wanaofanya mitihani ya masomo haya ni wale wa mchepuo wa sayansi pekee (denominator inakua ni ndogo) wakati mtihani wa hesabu unafanywa na michepuo yote (sayansi, biashara, sanaa, kilimo nk) hivyo denominator inakua kubwa
bila samahan mm na hesabu hatupatan kabisa adui yangu no 1 huyo
 
Back
Top Bottom