mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,496
Ya bahati mbaya kwa sababu shetani ndiye aliyemshawishi
It might be true.
kwa maana hiyo shetani alimshikia mguu ha ha ha haYa bahati mbaya kwa sababu shetani ndiye aliyemshawishi
Hata kama. Hakuna mimba ya bahati mbaya.
Umekuwa mpole na mnyonge ghafla hadi nimejisikia vibaya! Lakini usijali ndo ukweli wenyewe.
Kwa nini ugongwe bila ndom halafu useme mimba bahati mbaya?
Shetani ndo nani tena?
kwa maana hiyo shetani alimshikia mguu ha ha ha ha