TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,718
- 8,192
Wakuu naomba mtu mwenye uelewa na mambo ya Madini pamoja na Mikataba anieleweshe ili nami nipate kuelewa !
Tanzania imebarikiwa Kuwa na Madini tofauti tofauti ambayo bila shaka yangetutoa kwenye Umasikini watu wetu wakaishi maisha mazuri na Kuwa na kipato kizuri !
Nimejaribu kudodosa na kupitia machapisho mbalimbali na kugundua kwamba,kwenye Migodi yote ya Madini ya dhahanu ambayo inaendelea kufanya kazi na Ile ambayo haijachimbwa ni kwamba,Wawekezaji wao hupata zaidi ya Asilimia 80% ya Mali yote halafu sisi wenye Mali tunapata Asilimia zisizozidi Asilimia 20 %
Sasa Je,swali langu ni kwamba,ni kwanini sisi wenye Mali tunapata mgao kidogo ilihali mchimbaji (Muwekezaji) anachukua sehemu kubwa ya Madini yetu?
Je nchi yetu Haina uwezo wa kuchimba Madini hadi tutafute watu watuchimbie na bado wanachukua sehemu kubwa ya Madini yetu halafu sisi tunabaki na kidogo?
Je,wakuu hivi ni kweli kabisa au stori tu za vijiweni?,maana binafsi naona kama haingii akilini hata kidogo
Hebu nielewesheni wakuu nami nielewe yawezekana kumbe Mimi ndiye sielewi!
Nipo tayari kueleweshwa na nitakuwa tayari kuelewa !