Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,889
- 60,334
Kama mabalozi wapo Dar na wamegoma Dom basi na sisi tunakaa karibu ili kuomba iwe rahisi
Dhahabu,Alma's,tanzanite,Serengeti,bandari maziwa siyo vingi kushinda kisima cha mafuta?Tuna visima vinavyotuingizia kiasi gani cha ukwasi/dolari kwa siku?
Kotekote !Je vyombo vya ulinzi haviwezi kumlazimisha ?
Je vyombo vya ulinzi vinashindwa Nini kumtaka Rais akaishi Dodoma?
Hasara za Rais kutokuwa na makazi maalumu si ni hasara kwa walipa Kodi maana gharama za kumlinda uongezeka ?
Mabilioni yaliyojenga ikulu dodoma je ni hasara? Hasara kwa Nani? Kama muhusika haishi pale?
Magogoni, kizimkazi na Dodoma ni wapi makao makuu ya nchi?