Inakuwaje ninapogongwa na gari isiyo na bima? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inakuwaje ninapogongwa na gari isiyo na bima?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Shambogo, Jul 11, 2012.

 1. S

  Shambogo New Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wiki iliyopita nimepata ajali na gari yangu, nimegongwa na corolla iliyokuwa imepoteza uekekeo na kuja upande wangu wa barabara. Baada ya taratibu za kipolisi kufuatwa tumejua gari hiyo haina bima. Polisi wanamtoza fine mmiliki wa hiyo Corolla. Naomba kupata msaada, itakuwaje kwa gari yangu? Nani atanilipa fidia, je ni kampuni yangu ya bima? Maana hata mimi nina 3rd party policy. Mwenye corolla anasema hana uwezo wa kulipa labda anipe gari yake nitafute mteja. Nifaanyeje bandugu?!!!
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,194
  Likes Received: 1,590
  Trophy Points: 280
  Duh! Chukua gari yake, anareta dharau kwa geshi ra porisi?
  Manake anahusika yeye hasa ukizingatia wewe hauna comprehensive insurance.
   
 3. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kugongwa ni kugongwa tu cha msingi wewe banana na aliekugonga akupe matibabu stahiki basi, maana ukigongwa na gari yenye bima sio kusema hutaumia its like when the egg fall on the stone or stone fall on the egg the end result is the same
   
Loading...