nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,011
- 1,915
Hao ma-gays wame haribu vijana, kwa kuhamasisha wakatae ndoa, ili waingie kwenye ya jinsia moja, mashoga wegi jamani mue makini hizo slagons za kijana kataa ndoa.Wakuu.
Usiruhusu kamwe mwanamke akawa juu kimaamuzi,
Now days kumekuwa na wimbi la wanawake wakitaka nusu kwa nusu na hii wameileta katika familia.
Unakuta kuna nyumba mwanamke utafikiri yeye ndo mwanaume Yaani Muda wote Muongeaji Yeye,mfanya maamuzi yeye., Nafasi ya mwanaume haionekani tena.
Yaani mwanamke anapangia hadi upande wa mwanaume wafanyiwe nini na nini kisifanyike.
Vijana kataa Ndoa
Ndoa Utumwa.
Ndoa Ujinga.
Ndoa ni Upotevu wa mali na muda.
Nakusuport ndoa ni upumbavu
Ndoa ni upumbavu tulikaririshwa zama zimepita akili ishakuwa kubwa ndo tunaikataa ndoaHao ma-gays wame haribu vijana, kwa kuhamasisha wakatae ndoa, ili waingie kwenye ya jinsia moja, mashoga wegi jamani mue makini hizo slagons za kijana kataa ndoa.
Hongera sana kwa hiyo hatuaBinafsi ndoa siikatai na kamwe hawezi nitawala,,,that will never ever happen.
Tofauti kati ya binadamu na mnyama ni ndoa. Ndoa iwe ya kidini, kimila au kiserkali inahalalisha mwanamke na mwanaume kuishi pamoja na kupata watoto. Hatuwezi kuishi kama wanyama na kuzaana kama wanyama bila kutambua kuna baba, mama, dada, kaka, na ndugu ambao hatuwezi kujaamiiana na kuzaa.Ndoa ni upumbavu tulikaririshwa zama zimepita akili ishakuwa kubwa ndo tunaikataa ndoa
Hoja dhaifu Tofauti ya mwanadamu na mnyama ni ndoa.Tofauti kati ya binadamu na mnyama ni ndoa. Ndoa iwe ya kidini, kimila au kiserkali inahalalisha mwanamke na mwanaume kuishi pamoja na kupata watoto. Hatuwezi kuishi kama wanyama na kuzaana kama wanyama bila kutambua kuna baba, mama, dada, kaka, na ndugu ambao hatuwezi kujaamiiana na kuzaa. Ndoa inatutofautisha na wanyamama, kwamba hata kama una nyegezi hizo nyegezi unazielekeza kwa mkeo. Ukioa na kuzaa mnawatunza watoto pamoja. Mpaka sasa tunaingiwa na changamoto za wale wanaozaa nje ya ndoa na kushindwa kutumiza majukumu yao kutunza watoto. Ndoa ni muhimu na ni nzuri, lakini chagua mwenza anayekufaa na kukubali.
Wanawake wa wapi hao wanakuwa wababe kwenu?Mnasikitisha sana.Bora mniite mkorofi.Wakuu.
Usiruhusu kamwe mwanamke akawa juu kimaamuzi,
Now days kumekuwa na wimbi la wanawake wakitaka nusu kwa nusu na hii wameileta katika familia.
Unakuta kuna nyumba mwanamke utafikiri yeye ndo mwanaume Yaani Muda wote Muongeaji Yeye,mfanya maamuzi yeye., Nafasi ya mwanaume haionekani tena.
Yaani mwanamke anapangia hadi upande wa mwanaume wafanyiwe nini na nini kisifanyike
Ujinga mkubwa mwanaume ulioa au single kidada au mwanamke yoyote kukatawala wewe na familia yako..
Vijana kataa Ndoa
Ndoa Utumwa.
Ndoa Ujinga.
Ndoa ni Upotevu wa mali na muda.