Inakuwaje mnaamini kirahisi hivyo?

Inakuwaje mnaamini kirahisi hivyo?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,353
Reaction score
26,194
Sisi wanaume ndio watongozaji nambari moja. Ni kawaida unapomtongoza binti au mmama fulani yeye hukimbilia kujua kama tuna wapenzi au la.Majibu yetu huwa rahisi sana.Husema kuwa tulikuwa nao lakini tumeshindwana tabia.Basi,unachukua goma.Sasa,hivi unaamini kuwa kweli aliyeachwa ndiye aliyekuwa tatizo? Je, unaaminije kuwa wewe umemzidi aliyeachwa kwa tabia njema? Inakuwaje lakini?
 
mkuu usimwage kuku kwenye mchele wengi
 
kwenye hii idara ya kugegedana....wanawake ni dhaifu aka yaani wee hapa unatakiwa uwagegede kwa raha zako.
 
Mkuu inaonesha huna fani nyingine zaidi ya KU-GE-GE-DA tu..Lol(Joking)
 
  • Thanks
Reactions: BAK
lol! hahahahah Chezeya Mkuu wa Idara ya UGEGEDAJI JF al maarufu mzabzab :majani7::majani7:

Mkuu inaonesha huna fani nyingine zaidi ya KU-GE-GE-DA tu..Lol(Joking)
 
Last edited by a moderator:
Kwa wiki unagegeda mara ngapi?

ah mie nagegeda mara moja tuu....mie nalipa malaya buku 50 guest buku 30 kula nna vinywaji buku 30 so kilo ya starehe. sasa buwezi kuwa wagegeda kila leo. so mara moja kwa wiki yanitosha
 
Tuwasaidie dada zetu ili wakitupa huduma watupe kwa sababu zinginezo na si za kitoto hivi
ukitaka kufail kwenye course ya utongozaji ni pale utapomwambia ukweli, danganya uwezavyo kamwe usiseme ukweli utatoswa wewe
 
ah mie nagegeda mara moja tuu....mie nalipa malaya buku 50 guest buku 30 kula nna vinywaji buku 30 so kilo ya starehe. sasa buwezi kuwa wagegeda kila leo. so mara moja kwa wiki yanitosha

Mkuu unatisha play safe si unajua ngwengwe nje nje usiwe unasahau kutumia dawa ya penzi.
 
ukitaka kufail kwenye course ya utongozaji ni pale utapomwambia ukweli, danganya uwezavyo kamwe usiseme ukweli utatoswa wewe

mwambie huyo...mwanamke ukimwambia ukweli hakuvulii chupi...wee danganya tuu mpaka chupi itavuliwa tuu
 
umenikumbusha kuna m1 alinitongoza akasema aliekua nae alimcheat so since april hana girl,na mimi alinitokea november mhhh,wanaume nyie
 
so wee unataka kusema mwanaume hawezi kaa half a year bila kugonga demu!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom