Lizzy umesema kweli loh yaani kuna wakati nilikuwa ninafikiria hayo kuwa hapana huyu nitamwonyesha kuwa nina uwezo wa kumrudisha kwenye himaya yangu loh...........I tried weeeee but where (wanajisemea watoto wa mjini!!) ila ajabu nilipoamua kukata tamaa ndo naye akazinduka usingizini loh lakini nilishajichukia kwa upuuzi wote nloufanya kumuwin back......miaka imekwenda na uzee umekomaa eti bado ananikumbuka na kukumbuka penzi langu jamani!! .........sasa sijui ni penzi lipi lile la mwamzo au lile la ziada.
Huko ndo kunaitwa kujidanganya!!!
Utamfanya mtu akupende kwa lazima???Hilo haliwezekani!!Kinachotokeaga ni kwamba mtu anaamua ngoja tu niwe nae....siku akikutana na atakaempenda yeye bila ushawishi ndo unashangaa unaachwa kama vili hukuwahi kuwepo!
Kupenda....
Wondering kama kupenda ni uamuzi au ukichaa tu...!
sana RR nafikiri ni kujitia wendawazimu tu natafuta darasa la kutopenda maisha nafikiri ndo linafaa kwakweli.
Badala ya mapendo kuleta faraja na amani ya nafsi....imekua kinyume chake.....perhaps u r damn right....we should learn how to use our brains in a better way....
hili lilinitokea mie, nilipendwa nicpopenda, niliachwa njia panda bila kujijua, swali la kujiuliza ni kwamba unakubali matokeo lakini huyo huyo kwassa ndio msumbufu na lawma kibao lakini yeye ndio alikutosa, maisha haya...
Hao ni wale either hawajui wanachokitaka...au kuwaonyesha kwako unawapenda wanachukulia kama udhaifu..yani huwezi kwenda popote.Kwahiyo wanamisuse hisia zako bila kujua kuna uwezekano wa wewe kupoteza hisia hizo!
hakuna heshima na badala yake unaishia kuwa abused kila sehemu,sometimes we turn blind eyes kwenye mambo ambayo yanaonekana.ile unapompenda mtu unafanya hata makosa kuwa sio makosa ndo huwa yanatucost mwisho wa siku.
unarekebishwa/shauriwa haushauriki, ndio kwanza unawaona wabaya..mie yangu naonaga ilini cost kuliko maelezo aisee, yaani nilisema ctakaa nipende daima lakini alitokea wa kunifariji nikaona kumbe naweza kupenda tena but ilimchukua muda kunirudisha kweli uhalisia kwamba bado kuna mtu ananipenda/nijali/nithamini...kweli ukisema cha nn mwnzio anasema atakipata lini....
Ukome kufungia akili zako kabatini kisa umependa.......
Mzima nikupendae daima?
women talk,,,,,:help:
..... and men speak!!!:help:
And betrayal hiding. :tape2::tape2:And love listens!:tape::tape:
And betrayal hiding. :tape2::tape2:
And betrayal hiding. :tape2::tape2:
And malaria kills:tape::tape:
fellow tablet! mjukuu mtiifu atakasirika atakuwa hajibu PM zetu ujue, tunachakachua sredi yake.And malaria kills:tape::tape:
fellow tablet! mjukuu mtiifu atakasirika atakuwa hajibu PM zetu ujue, tunachakachua sredi yake.