Naona wengi mnazunguka mibuyu tu!
ukweli ni kwamba, kwenye sikukuu hasa za kidini kama hizi, wazinzi wengi huwa wamezuiliwa access ya kugongana,
Hivyo basi, pale mifungo inapokuwa inakaribia kuanza, wengi hugegedana kama vile wanakufa kesho.. wenyewe wanaita vunja jungu...
Pale mifungo inapokuwa inakaribia kuisha, wengi wao huwa wana ugwadu na minyege ya hali ya juu, hivyo wana-book vyumba kwa ajili ya kuvunja amri ya sita kulipizia siku za mifungo...
Matumizi ya Guest house si kama yale ya zamani tena tusidanganyane bwana, bongo hii nani mwenye uwezo wa kumtunza ndugu yake GH kwa miezi miwili bila kukoma? ndugu wenyewe hawa wanakuja bila taarifa, kuondoka hawaelweki wanaondoka lini? nani atoe gharama hizo?
Wala tusidanganyane, ukweli usemwe japo unauma!