Inakuaje siku za sikukuu gesti zinajaa?

Inakuaje siku za sikukuu gesti zinajaa?

kalemauji

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
1,629
Reaction score
1,845
Wadau sikukuu inakaribia cha kushangaza sikukuu inapofika mara nyingi gesti huwa zimejaa yani hakuna chumba wengine wanafanya booking kabla hata ya sikukuu huwa nashindwa kuelewa hii inatokea kwa nini?
 
Majumbani mwao kunakuwa na wageni wengi walokuja kula sikukuu hivyo inabidi wenyeji wakajihifadhi gesti.
 
Mkuu ckukuu tunabadilishaga mazingira tunatafuta sehemu ya ku-rifresh mind c unajua home kunakuaga na zogo la watoto
 
Wenza wao wanakua ni vikojozi,sasa wanakwepa harufu ya mkojo au we unaonaje?
 
mara nyingi, wanakuwa wa nje ya eneo hilo , kwa maana wageni ....
 
Ukiona hivyo ujuwe mwanamke ni mtu wa kuishi naye kwa akili tu
 
Wadau sikukuu inakaribia cha kushangaza sikukuu inapofika mara nyingi gesti huwa zimejaa yani hakuna chumba wengine wanafanya booking kabla hata ya sikukuu huwa nashindwa kuelewa hii inatokea kwa nini?

Guest = Mgeni,

House = Nyumba,

Guest House = Nyumba ya wageni.

Hivyo ukiona nyumba ya wageni imejaa unaelewa nini? maana yake ni kwamba wageni wamejaa kijana!

Basi tu watu tunabadili matumizi halisi ya GH kwenda ngono House, ila kiukweli hayo majengo yalijengwa kwa ajili ya wageni..
 
Mkuu ckukuu tunabadilishaga mazingira tunatafuta sehemu ya ku-rifresh mind c unajua home kunakuaga na zogo la watoto
unabadilisha mazingira kwa kwenda kulala tu? that means huwa unalala wewe, mkeo na watoto kitanda kimoja? au umemaanisha nini kijana?
 
Naona wengi mnazunguka mibuyu tu!

ukweli ni kwamba, kwenye sikukuu hasa za kidini kama hizi, wazinzi wengi huwa wamezuiliwa access ya kugongana,

Hivyo basi, pale mifungo inapokuwa inakaribia kuanza, wengi hugegedana kama vile wanakufa kesho.. wenyewe wanaita vunja jungu...

Pale mifungo inapokuwa inakaribia kuisha, wengi wao huwa wana ugwadu na minyege ya hali ya juu, hivyo wana-book vyumba kwa ajili ya kuvunja amri ya sita kulipizia siku za mifungo...

Matumizi ya Guest house si kama yale ya zamani tena tusidanganyane bwana, bongo hii nani mwenye uwezo wa kumtunza ndugu yake GH kwa miezi miwili bila kukoma? ndugu wenyewe hawa wanakuja bila taarifa, kuondoka hawaelweki wanaondoka lini? nani atoe gharama hizo?

Wala tusidanganyane, ukweli usemwe japo unauma!
 
Ngoja nikawek booking mapema kwenye pasaka nilikosa chumba pale Satelite lodgge
 
Fungulia Mbwa

kama ulikwepo yaan cku hzo hua nakaa tu home mpaka jioni ndo natoka maana huko mtaani utakutana nao wamevaa sare kama wanafunzi maana kkoo nao wanakua wanauza nguo zinafanana
 
Sikukuu ya Idd waliofunga wanafungulia kila kitu. Mimi mwenyewe kuna mchepuko wangu ulifunga ikifika siku ya Idd naenda kuufungulia gesti.
 
kwanini asubuhi na jion kuna tabu sana ya usafiri?ukipata jibu ya hili swali basi hata swali lako jibu utapata.
 
Back
Top Bottom