Inakuaje mtu anakuwa na majina manne?

Wenye majina si wapo hai waulize,unaogopa nini hilo sio kosa lajinai ni PM nikupe no ya mheshimiwa
 
Jina la.babu si jina la.ukoo

Makabila mengi tz hutumia
First name_jina lako
Middle name_jina la baba
Last name_ jina la ukoo


Na sivyo ulivyo eleza kwamba jina la babu hutumika kama la Ukoo


Ambao hutumia majina manne hutumia na jina la babu km alivyo eleza mkuu juu happ

Na ndio mana kuna Ukoo
Km wachaga
Mushi
Temba
Temu
Minja nk

Wanyakyusa kuna
Mwakyembe
Mwakabuku
Mwakabuta
Mwalukasa
Nk

Haya sio majina ya babi niya ukoo
Umesahau Mwakatrump mkuu!
 
Ukitaka enze na majina ya mababu hapo ndipo utakuwa na majina manne ila mtoto wakao atakuwa na matano na mjukuu wako atakuwanayo sita na majina yatazide ongezeka kadiri mababu watakavyoenziwa.

Simple nafikiri ni jina lako na mzee wako na babu kwa maana ya baba wa baba yako.
 
Back
Top Bottom