Inakuaje mtu anakuwa maarufu, mwenye jina kubwa na ukaribu na wa viongozi wa CCM lakini bado ni masikini?

Inakuaje mtu anakuwa maarufu, mwenye jina kubwa na ukaribu na wa viongozi wa CCM lakini bado ni masikini?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,241
Reaction score
90,299
Screenshot_20251120_232805_X.jpg
 
shida elimu hamna, hawajui kuji position namna ya kupata au kutengeneza ma deal.

wao wanacho jua ni kuomba omba kama bakuli la rambi rambi, so viongozi wana ona huyu ten ina mtosha kumbe!

#mcheki baba levo ka fala vile, ila udiwani kapata, ubunge ndio huo.
Nakutafuta saana Mzee wangu
 
Kwani ukiwa maarufu na ukaribu na viongozi wa CCM ndo unakua tajiri?

Machawa na UVCCM wenyewe wako hoi choka mbaya mbovu.
😂😂😂😂😂

Kama huwi tajiri huo uchawa na umaarufu unakusaidia nini? Huo ni ujinga.
 
Kuwa karibu na viongozi au matajiri haina maana watakumwagia pesa za bure. Matajiri wengi ni mabahili kuliko unavyodhani. Watu wengi walio karibu na hawa vigogo huridhika na vitu vidogo vidogo na wengi wao pia elimu duni. Mwaka 2014 nikiwa nimepigika hatari na kazi sina nilishangaa kujua jamaa yangu fulani anajuana na aliyekuwa mkuu wa NSSF wakati huo. Yule jamaa nilimwomba anikutanishe na yule kigogo nipate mchongo wa kazi. Huwezi amini jamaa tulienda naye posta bila hata appointment tukakutana na yule kibopa. Cha kushangaza huyu jamaa yangu ni fukara na mara nyingi ninamkuta pale jengo la Yanga.
 
Kinachokudanganya ww n maisha yao ya mitandaoni na sio kujua maisha yao halisi.

Swali la mleta uzi ni valid. Uchawa na umaarufu unawasaidia nini kama hawawezi hata kujikim hadi wapewe misaada wakati wapo karibu na wala cake ya taifa? Ni wajinga.
 
Kuwa karibu na viongozi au matajiri haina maana watakumwagia pesa za bure. Matajiri wengi ni mabahili kuliko unavyodhani. Watu wengi walio karibu na hawa vigogo huridhika na vitu vidogo vidogo na wengi wao pia elimu duni. Mwaka 2014 nikiwa nimepigika hatari na kazi sina nilishangaa kujua jamaa yangu fulani anajuana na aliyekuwa mkuu wa NSSF wakati huo. Yule jamaa nilimwomba anikutanishe na yule kigogo nipate mchongo wa kazi. Huwezi amini jamaa tulienda naye posta bila hata appointment tukakutana na yule kibopa. Cha kushangaza huyu jamaa yangu ni fukara na mara nyingi ninamkuta pale jengo la Yanga.

You just proved Yoda 's point. Hawa watu ni wajinga kiakili na kielimu. Huwezi kuwa maarufu na kuwa karibu na wala cake ya taifa tena wanakula kwa kutapanya bila huruma yeyote ile huku wewe ni maskini. Ukiwa karibu na waridi lazima unukie unless uwe zwazwa usijue kutumia fursa.
 
shida elimu hamna, hawajui kuji position namna ya kupata au kutengeneza ma deal.

wao wanacho jua ni kuomba omba kama bakuli la rambi rambi, so viongozi wana ona huyu ten ina mtosha kumbe!

#mcheki baba levo ka fala vile, ila udiwani kapata, ubunge ndio huo.

Nilikua nammind Baba levo ila kwa ujinga wa watanganyika na historia yake na alipofika anafaa pongezi.
 
Kwa namna serikali ilivyo corrupt, swali lako ni la msingi sana.

Ingekuwa serikali inayowajibika kwa wananchi swali lingekuwa invalid.
 
Tajiri hampii chawa Mtaji hata siku moja
Ukimpa mtaji utapata wapi chawa competent kama yeye. Ni sawa na kuuliza mmiliki wa ng'ombe 1,800 kwanini hampi mfugaji wake pendwa wa miaka 10 na aliyekuza idadi mara 10 tangu aanze ng'ombe walau 50.

Sasa tajiri wa ng'ombe amuwezeshe kijakazi wake ili apate wapi mchungaji mwingine mzuri.
 
Back
Top Bottom