Inakera sana kupishana na kijana wa kiume ananukia kama mwanamke

Wadada tunapenda kuhug wakaka wanaonukia vizuri hata kuwa karibu nao yamkini sio mpenzi. Mwanaume akinukia vizuri na awe smart ni kivutio kizuri sana. Binafsi napenda mwanaume wangu anukie vizuri inanifanya kila muda nitamani kumkiss shingoni mwake au anikumbatie. Napenda perfume nzuri na yeye ni mpenzi wa manukato mazuri basi nikiwa nae hata faragha na enjoy sana.
Umenena vyema mkuu
 
Ujana ni uchizi mkuu kwa baadhi ya wenye akili ndogo.

Perfume atajipulizia mke wangu hayo mengine ni Ujinga.
Kwhyo mkeo hana nafasi ya kumkumbatia mwanaume anayenukia perfumes? yaani wewe upate hatufu yake ya parfumes.. Ila yeye apate harufu ya BEBERU kutoka kwko
 
Labda sijakuelewa vizuri,unamanisha mwanamme asijitie Perfume aoge atie mafuta thats it?
unamanisha wewe ukishaoga nakutia mafuta ndio ushamaliza? mkuu sijui wengine ila Napenda sanaa tena sanaa
Mume wangu anukie,kila nikiona mafuta mazuri Al Oud nzuri nilazima nimnunulie mwanamme kunukia buanaaaaaa
kwanini anuke kama Beberu kama anaweza afford kununua manukato...?
Umenena vyema mkuu
 
Humu kumejaa comments za kimaskini na wivu tu.
4cce9d38ecb220b5f67e8ab0f9ac8408.jpg
Hayo ndy madude yangu
 
KWELI JF KUNA WATU NA POST TATA
whats wrong na perfumes ...watu wanawekeza viwanda wewe waja na post kama hiyo...
fursa hizo ...muda huo wa kupost unagefanya ya maana sana tunatataka issues hapa OIL AND GAS
MICHANGA YENYE MADINI NK
 
Hata ukioga mara kumi mkuu..bila perfume ni kama hujavaa nguo romantic... Mwanamke anaweza akakuchukia au akakupenda sababu tu ya harufu yako
Mapenzi nmeanza zamani.
Nmetembea na wanawake wa kila namna. Wazuri Kwa wabaya, weusi kwa weupe, warefu Kwa wafupi.

Na sasa Nina mtoto mkali na anapenda nilivyo
Kama unaasili ya kutoa mijasho na kunuka kwapa basi perfumes ndio suluhisho lako.

Tuache ambao hatunuki jasho.

Mimi ukinukia perfume nilikuambia nikikuona nakutongoza then unapata ulichokuwa unakitaka
 
Halafu baada ya kunitongoza itajulikana nani atakaye mpa UTAMU mwenzie...kwn kwa akili yako ya kizamani unadhani MABEBERU hawapati wanawake? wewe utapata mwanamke kulingana na ulivyo...hakuna mwanamke mpenda manukato achukuliwe na BEBERU...MNUKA KWAPA...na wewe utakuwa unawachukuwa MABEBERU JIKE.....wenzio.... Wanaonuka KICHUJIO....huwezi pata mwanamke mrembo... Mkuu...imeandikwa MZINIFU ataoa mzinifu mwenzie....mlevi na mlevi mwenzie...
 
Umenena vyema mkuu
Mkuu mume wangu lazima anukie tena wala simwambiii nunua namnunulia mie nilikua sijui mpaka sasa nimekua mwalimu,kuanzia mafuta ya Perfume Al Oud ndio usiseme,Udi ijumaa kanzu yake ya msikitini lazima nifukize,mpango wa mwanamme kunuka zizi la Mbuzi NO..unajua nikimsikia Mwanamme ananuka jasho la kupitiliza hua najiuliza huyo mkewe au mwanamke wake ana hali gani? huenda wakawa wasafi lakini inaleta picha mbaya..
 
Mkuu mume wangu lazima anukie tena wala simwambiii nunua namnunulia mie nilikua sijui mpaka sasa nimekua mwalimu,kuanzia mafuta ya Perfume Al Oud ndio usiseme,Udi ijumaa kanzu yake ya msikitini lazima nifukize,mpango wa mwanamme kunuka zizi la Mbuzi NO..unajua nikimsikia Mwanamme ananuka jasho la kupiliza hua najiuliza huyo mkewe au mwanamke wake ana hali gani? huenda wakawa wasafi lakini inaleta picha mbaya..
mashallah........i lyk it
 
Wadada tunapenda kuhug wakaka wanaonukia vizuri hata kuwa karibu nao yamkini sio mpenzi. Mwanaume akinukia vizuri na awe smart ni kivutio kizuri sana. Binafsi napenda mwanaume wangu anukie vizuri inanifanya kila muda nitamani kumkiss shingoni mwake au anikumbatie. Napenda perfume nzuri na yeye ni mpenzi wa manukato mazuri basi nikiwa nae hata faragha na enjoy sana.
anatumia perfume gan na mimi nikainunue...nianze kujipulizia.
 
Back
Top Bottom