Inakera sana kupishana na kijana wa kiume ananukia kama mwanamke

kunuka nako sio poa asee ni kero.kunukia cna napo sio poa nikero ishu kuwa katikati kutumia vitu visivo na harufu cna.DEODORANT nzr cna hunuki wala hunukii
 
Asilimia kubwa wanao jipulizia perfume wanakua wachafu,,,perfume is just a mask used to hide bad smells inside them
 
napita... unataka wanuke
 

Attachments

  • walk.gif
    walk.gif
    636.2 KB · Views: 603
Kunukia ni muhimu kijana kwann unuke mbuzi, kibeberu cha msingi utumie simple perfume lkn kunukia muhimu wee labda unatoka kwa wamasai kunukia mafuta ya wanyama
 
Siku hizi vijana wa kiume wanavaa visuruale vinabana miguu na makalio. Aibu sana
 
Perfume za kiume ziko poa sana, zinanukia kiume kiume. Mi napenda sana kusikia harufu yake..
 
Mnisamehe tu leo...

Suala la mwanaume kunukia kama mtoto wa kike linakera sana. Hii inatokana na kujipulizia mapafyumu. Mungu aliumba harufu za asili za kike na kiume tubaki na hizo.

View attachment 520288

Lets get back to naturality. Girls and Boys get smart.
tatizo ni kwamba sio kila mtu ni wewe,japo unatamani wewe ndio uwe kila mtu
 
Wadada tunapenda kuhug wakaka wanaonukia vizuri hata kuwa karibu nao yamkini sio mpenzi. Mwanaume akinukia vizuri na awe smart ni kivutio kizuri sana. Binafsi napenda mwanaume wangu anukie vizuri inanifanya kila muda nitamani kumkiss shingoni mwake au anikumbatie. Napenda perfume nzuri na yeye ni mpenzi wa manukato mazuri basi nikiwa nae hata faragha na enjoy sana.
Inavutia Sana
 
Mbaya zaidi anaingia kwenye hiace au sehemu ya mkusanyiko wa watu wengi anaharibu hali ya hewa kabisa.....wengine unakuta ni washamba hata tofauti ya marashi ya MADEMU, MAITI na WANAUME hajui matokeo yake anajitundika yale ya MAITI yanoyonukia sana akidhani ndio amekomeshea sasa inakuwa ni kero kwa wasiopenda marashi kwani huwatesa wengine na si yeye aliyejipaka
Mm mpk kipanda USO huwa kinaniuma
 
Back
Top Bottom