Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,717
- 3,680
Salaaaaaaaaaaaaaaaaaam kwa wote.
Bila shaka lunch ilikuwa mrwaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mwenzenu yamenikuta!
Mke wangu ana ujauzito wa miezi mitano. Namtakia afya njema na mungu atusaidie tupate mzaliwa wa kwanza.
Lkn nina miezi kama mitatu hivi...jamani niko kwenye shida
Kinachonipa shida ni Hiki:-
Kila ninachokifanya kwake ni kero mfano:
1. Anaweza akaninunia. Basi akinuna nami simuongeleshi lkn cha ajabu kukaa kwangu kimya linakuwa kosa na unakuwa ugomvi mkubwa sana kwanini simuongeleshi!
2. Hataki kuniona. Nikiona hivyo najichanganya kitaa na wadau mpaka mida ya saa nne usiku lengolangu likiwa nikifika home nioge nikalale kimya kimya lkn cha ajabu nikifanya hivyo bonge la ugomvi eti nilikuwa wapi. hataki nitoke
3. kiufupi ni migogoro daily ndugu zangu
Sasa imefikia point naanza kupoteza upendo kwake
Sina raha kwakweli. Naanza kupata fikra za kutafuta mrembo mwingine anipe japo faraja
Ungekuwa ni wewe ungechukua uamuzi gani?